Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

Kwahiyo hujaziona facts kwenye hii mada?
Mbona mleta uzi ameongea vizuri sana😂
Mtoa mada ameongea vizuri

Sina tatizo na Ngabu.

Ameweka hoja mezani, hajatoa conclusion yoyote.

Hoja ipo open kujadiliwa.

Tatizo langu lipo kwako,

Unaposema kwamba Tundu afuate njia sahihi.

How do you know hajafuata?

Kwanini hutaki ku reason hilo?

Kwanini hujiulizi 'hivi ni kweli kabisa Tundu hajui taratibu za kupata passport iliyoibiwa?'

Fact kwamba Tundu hajasema kuna vikwazo amepata kwenye passport isimaanishe hakuna attempts amefanya zika fail
 
Sasa kama si mara ya kwanza kwanini asiende kurenew?
Kwanini anataka Rais amerenewie?
I doubt you do not even read what I am typing.

Umenikumbusha hoja moja inasemaga kuna tofauti kati ya kusikiliza, na kusubiri uongee.

Nakuuliza tena, who told you hajafanya attempts za ku renew?

Kwanini unaamini hajafuata process za ku renew?

I repeat this, the fact kwamba Tundu haja mention whether or no ame fail kupata pass yake kwa njia rasmi ina negate kwamba hajafuata hizo njia?
 
Taratibu za kupata passport mpya kama uliyokuwa nayo imepotea, zipo wazi.

Kwanini uombe msaada wa Rais?

Kama alikuwa anakataliwa, alikuwa anakataliwa kwa misingi gani?

Bado sielewi aisee!
Kumbuka Mange kimambi aliteseka miaka kupata passport mpya. Jiwe lilivyoanguaka ndo akapata. Kuna mizengwe mingi kwenye haya mambo.
 
Post yako inaonesha ni jinsi gani ulivyo na ufinyu wa uelewa wa mambo.

Kwa ushauri tu tumia muda wako usio pungua miaka Kama mitatu kuisoma na kuielewa siasa ya tanzania.
 
Wewe pia ume assume kwamba hajatafuta pass kwa njia za kawaida.

Nasema uongo ndugu yangu?

Kama huja assume umejuaje, are you a prophetes?
Kwahiyo Rais akamnerewie?
Kabisa anajadili mambo haya na Rais!
 
Ndugai alimkatalia wazi wazi kutomlipa hela za matibabu alimkatalia kwa misingi gani na wakati huo huo anaona Watanzania wanajichangisha mia mia atibiwe nani alihoji kuhusu hili...
Huyu mjuaji amewahi hoji hilo? Kama anashangaa Lissu kuomba msaada wa kupata Passport alipaswa ajenge hoja toka mwanzo vikwazo alivyopitia vya matibabu akiwa mbunge kisha Spika anatamka hana taarifa Lissu yupo licha ya kaka yake mwanachama wa CCM kama mwanafamilia kupeleka taarifa alipo mpendwa wao wanahitaji msaada wa Bunge lakini spika wa zama hizo alikataa anashangaa la kuomba passport!!!!
 
Kweli anapenda masifa na mjuaji kweli...
 

Kwa kesi hii, maana yake ni kuwa, baada ya majaribio ya kumuua na kumfunga gerezani kwa mashitaka ya uongo kushindikana, wamekuja na jaribio la kutaka kumyang'anya uraia wake kwa staili Miguna Miguna....

Aisee, hii ndiyo Afrika na hii ndiyo Tanzania ya CCM...

All in all, Tundu Lissu ni mtu mwerevu na msomi mzuri wa sheria. It's obviously, anajua kinachoendelea na anajua afanyacho kukabiliana na watesi...

Kulisema hili mbele ya Rais Samia na baadae kulifunua kwetu na kufahamu kuwa kumbe ameibiwa passport yake, ana maana yake. He knows what's doing...

Lilolo la uhakika ni kuwa, ataipata tena passport yake kwa sababu kiongozi mkuu wa nchi amelisikia na kuelewa...
 
Hiyo shida ni nani sasa aliyekuwa anaileta? Na alikuwa anaileta kwa maagizo kutoka wapi? Juu? Katikati? Chini?
Kuna askofu mmoja alinyanyang'anywa passport na utawala wa Magu. Pamoja na kuyamaliza Ile passport watu wa Mamlaka hawakutaka kurudisha. Hii Ndio Tz .
 
Na pesa yote iliishia kwenye nauli na kununulia nguo ambazo sio classic pia, walikamatwa hawana ata mia mbovu.....mashetani wahed kabisa ukiuskiliza ushahidi wao kulazimisha ugaidi umbwa takataka hao ni kama watoto wanaigiza
Mashetani wahed, rudia baada yangu sweetie.....
 
Wajukuu zetu wanaendeleaje? Nadhani umefika muda muafaka wa kufuata nyayo za Bibi Titi Mohammed....

Kupwaya hakuepukiki. Umri haudanganyi

Tumwacheni Samia avipiganie vita vyake....
Hivyo "vita" ulivitangaza wewe?
 
1: Loss report
2: Aipeleke loss report ubalozini.
Balozi atamsaidia kupata pasi nyingine. Siku hizi ni digital process.
Angalizo: Pasi ya Belgium ( Europe union) atarejesha?
 
Ujerumani ipi hiyo yenye wakora? Tusitake kuchafua nchi zenye hadhi
 
Binadamu kaumbiwa kusamehe mkuu. Kujikweza sana kuna madhara yake kwa rais mwenyewe. Katiba kumpa mamlaka makubwa hakupunguzi ukweli kuwa yeye ni mwanadamu wa kawaida kama mimi na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…