Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
Mtoa mada ameongea vizuriKwahiyo hujaziona facts kwenye hii mada?
Mbona mleta uzi ameongea vizuri sana😂
Sina tatizo na Ngabu.
Ameweka hoja mezani, hajatoa conclusion yoyote.
Hoja ipo open kujadiliwa.
Tatizo langu lipo kwako,
Unaposema kwamba Tundu afuate njia sahihi.
How do you know hajafuata?
Kwanini hutaki ku reason hilo?
Kwanini hujiulizi 'hivi ni kweli kabisa Tundu hajui taratibu za kupata passport iliyoibiwa?'
Fact kwamba Tundu hajasema kuna vikwazo amepata kwenye passport isimaanishe hakuna attempts amefanya zika fail