Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #201
Lissu kasema ameomba passport mpya na wamemzungusha?Kuibiwa passports kwenye hizo trains za Europe kitu cha kawaida sana. Kuna Waturuki wengi tu wanaiba bags hasa za laptop na ukiweka passport humo inakwenda.
Sasa Lissu kaenda kuomba passport mpya na wanamzungusha tu. kumbuka huyo Sokoine alipoteza cheo kwa kwenda kumuona Lissu hospitali .
Halafu, kama ulichodai ni kweli, kwa nini haya yanatokea chini ya Samia?