Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Hesabu ya piki piki ni elf 5,6 au 7 and not more
Sikubaliani na mleta mada juu ya wazo lake la kibishara, lakini hesabu ya pikipiki haiwezi kuwa chini kiasi hicho unless awe kijijini kabisa huko.


Kwenye mji wowote uliochangamka, (5,6,7) ni hela inayoingia baada ya route 2 hadi 3 za kawaida kabisa.
 
Hiyo biashara kuna jamaa kafanikiwa kwa kiasi fulani but inabidi uwee katili kweli kusimamia hiyo biashara na kingine yeye bajaji zake zote zinapita route moja so it means anaziona zote muda zinafanya kazi na kulaza zinalala nyumbani kwake zotee jamaa hacheki kabisa na vijana
 
Mimi NIna bodaboda 10 mtaani na ni mstaafu WA Miaka 10 nakula pensheni

Shida nyie mnawapa bodaboda watu hamjaandikishana serikalini, hao mabodaboda hawana ma referee 3 just incase wakikimbia au kuuza

Jipange bro utakula hela kilaini mjini hapa
Hello naomba kuona sample ya mkataba unaowapa
 
kabisa
 
sio kweli umepigia uongo
 
Yani unawekeza 2.7 millions kwenye boda af kwa siku unapata 10k tshs hiyo ni biashara ya mtu mvivu wa kufikiria! 2.7m inabid kwa siku ikupe atleast 30k net profit✌️
anakuletea elfu 10 kwa siku humlipi mshahara anajilipa mwenyewe kwenye maokoto yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…