Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Weeeeeeh lazima nikose wewe pesa mbele kuliko kingine ntakua napeleka rejesho bhn🤣
Alafu mbona sielewi boss kule inbox ile conversion kila nikijaribu kuufungua kwangu inagoma inaandika connecting kwa muda mrefu shida sijajua ni nini? unisamehe tu boss wangu wito niliuona.
Update browser unayotumia... Tatizo lako litakuwa limetatuka
 
NI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI

Statistics zaonyesha hivi

View attachment 2749912
Hizo ni hesabu za kwenye calculator....
Kwa uhakika hakuna kitu kama hicho.
Dereva kuna siku ataumwa
Ajali
Pikipiki kuharibika/service
Uchakavu
Kuibiwa
Kuletewa maneno🙂badala ya hesabu.
 
Mimi NIna bodaboda 10 mtaani na ni mstaafu WA Miaka 10 nakula pensheni

Shida nyie mnawapa bodaboda watu hamjaandikishana serikalini, hao mabodaboda hawana ma referee 3 just incase wakikimbia au kuuza

Jipange bro utakula hela kilaini mjini hapa
FIX🤪
 
Back
Top Bottom