Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

HiO biashara ya boda Sio realistic kwa Sasa.labda zamani.
Pana mtu alikua na bodaboda 300 enzi zile
Biashara ya pikipiki ni Muhimu uifanye kwa Mkataba.
Bila Mkataba, Pikipiki haimalizi Mwaka inabadilishwa jina na kuitwa FUPA au SKREPA.
Mimi nimewapa Raia pikipiki zangu Mbili aina ya Boxer ambazo nilizinunua kwa 6M zote 2.
Nimezifunga GPS Tracking Systeam kwa laki 1.5 kila moja.
Mkataba ni Miezi 18. kila mmoja kwa wiki anaingiza Benk Tsh. 70,000/=
Biashara naifanyia Dodoma. Sijawahi kuthubutu kuwauliza wapo eneo gani. Hata wakitoka nje ya mji, mimi huwa napiga kimya tu.
Sijawakatia Bima wala Sumatra. zikikamatwa, tunamalizana juu kwa juu Na Maisha yanasonga.
 
kweli kabisa
 
Kuna mpumbavu hapa nchi jirani alishauriwa na wakwe zake aache kazi aliyokuwa anafanya kwenye shirika la umeme na kuchukua pesa zake zote ili afanye biashara kwasababu ajira ni utumwa. Baada ya kuacha hao wakwe zake ambao ni matajiri wa biashara ya daladala na mabasi wakamuuzia coaster mbovu. Mshkaji kwa sasa ni kama mtu aliyechanganyikiwa. Ana coaster mbili zote spana mkononi. Yaani anajuta kupokea ushauri wa wakwe zake.
Umenikumbusha miaka ya 1990-95 pale Usa-river Arusha alikuwepo mgiriki anaitwa Sotiriades (maarufu kama Sotire) alikuwa na garage yake ya magari wanatengeneza, wanachomelea na rangi za magari wanapaka, by then alikuwa Mzee, akaja mgiriki pori akamshawishi abadilishe mashine zake za garage apewe coaster la kwenda route ya Arusha- Usa- Maji ya chai na Kikatiti, Mzee wa watu akajichanganya like gari lilidumu hardly 3 weeks baada ya hapo Mungu mwenyewe ndiye anayejua. Nilikuwa shule ya msingi lakini nilimuonea huruma, alikuwa mtu mwema sana, nakumbuka niliwahi kudondoka na baiskeli magoti yakajaa vidonda, aliniita akanipa mafuta ya Simba niwe napaka, vidonda havikukawia kukauka na kupona kabisa.
 
JAMANI NYIE NA STORI ZENU MNANITIA UCHUNGU UJUE!
BASI MUWA MNASALI ANGALAU JAMAN WOI
 
Kuna mpumbavu hapa nchi jirani alishauriwa na wakwe zake aache kazi aliyokuwa anafanya kwenye shirika la umeme na kuchukua pesa zake zote ili afanye biashara kwasababu ajira ni utumwa. Baada ya kuacha hao wakwe zake ambao ni matajiri wa biashara ya daladala na mabasi wakamuuzia coaster mbovu. Mshkaji kwa sasa ni kama mtu aliyechanganyikiwa. Ana coaster mbili zote spana mkononi. Yaani anajuta kupokea ushauri wa wakwe zake.
uuuwi jaman pole kwake
 
Hiyo ni RISK ALL STRATERGY

mimi na support INVEST WHAT YOUR WILLING TO LOOSE

hizo ni stratergy mbili tofauti kabisa
basi endelea kukaa kwenye a/c na kusubiria mwisho wa mwezi
tuache sisi tupambane kitaa, tule hela kimya kimya
 
Back
Top Bottom