Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umekojoa mara ngapAmka ndotoni mkuu usije jikojolea Bure!!?
Jamaan boss pole Sana jamaanMoney Penny miaka kama 10 nyuma nilikuwa naishi nje ya Tanzania nilipokuja Tanzania, vijana wa kijijini kwetu wakanishikilia nifanye nao biashara ya bodaboda. Nikaenda Kariakoo nikaulizia bei, nikaona ubwete na yule mwenye duka akanambia ukilipia 30% zingine utalipa kidogo kidogo kama unachukuwa kuanzia 10.
Nikaona isiwe tabu, nikalipia 50% nikamwambia watakuja vijana kuchaguwa rangi na options wanazotaka. Nikanunuwa.
Wiki tatu za kwanza mambo yameenda vizuri kabisa. Nikaona hii ndiyo biashara, wiki ya nne, wawili hawakuleta pesa, mara mmoja ananipigia simu ananambia katekwa na majambazi, boda imekwenda, namuuliza, umeenda polisi? ananambia bado. Nikamwambia nenda polisi, hakwenda, nikaenda mwenyewe, kijana katoroka, kwao hayupo. Polisi akanambia huyo mjinga tunampata, wakaingia kazini siku mbili tu, boda ikapatikana na kijana akapatikana.
Polisi wakanambia hii kazi wazimu, nikasimamisha zile mbili ambazo hawajaleta pesa na ile ya tatu iliyorudi.
Nyingine zote nikamkabidhi mtu azisimamie. nilichoambulia ni kurudisha pesa za mtaji tu. Tena kwa kuwa huyo mtu niliyemwachia ni "mwaminifu". Nilipoona pesa zimerudi, nikampa yeye mbili, nikawacha nyumbani kijijini pale mbili, zingine nikawa naziuza kidogo kidogo mpaka zikaisha. Zile mbili zangu mpaka leo zipo, zinafanya kazi ndogo ndogo za pale pale nyumbani tu.
Kwa ufupi, hiyo ni biashara nzuri lakini inataka usimamizi wa karibu sana, saa zote 24/7.
Kama mtu hawezi kuzisimamia kwa ukaribu namshauri afanye biashara zingine.
Hahahaha uyo WA kwenye video hapana nae alitaka kufaAkili za Boda boda wote ni kama madereva wa daladala ,matatu au Taxi kule South Africa awe kijana au mzee
Ila inawezekanaKukontrol watu 50 wenye akili mbalimbali tofauti tofauti ndio tatizo!
Sina bandoKwangu haifunguki naomba unitumie wasap
0713491359 tafdhali sana
Ulimwengu shujaaDunia hadaa [emoji119]
Ivi wewe ni dumejike auHivi wewe ni kidume au ?
Nichek kawaidaSina bando
AlhamduliLlah.Jamaan boss pole Sana jamaan
Kwa KIJIJINI NI ngumu tena hongera hata umeipata bodaboda yako wengine wanaangalia kwenye car trak inavyoibiwa toka Dar mpaka Moro mpaka Mbeya
Ila Kwa Sisi WA mjini boss, akipiga round kariakoo temeke au mbagala utafurahi mwenyewe
sipo tzNichek kawaida
biashara zoooooote duniani zinaibiwa, ukiogopa kuibiwa we sio mfanya biasharaUjajumlisha changamoto mfano
Kuibiwa,sound,kukosa wateja ushindani,faini.Hizi business plan wadanganye wastaafu Hela zao hazina kazi
Hizo ni hesabu za mezani sio mazingira halisiNI kweli
BIASHARA ya Bodaboda ukiifanya vizuri utapata Hadi milioni 15 KWA MWEZI
Statistics zaonyesha hivi
View attachment 2749912
HiO biashara ya boda Sio realistic kwa Sasa.labda zamani.biashara zoooooote duniani zinaibiwa, ukiogopa kuibiwa we sio mfanya biashara
NDio maana amepiga asilimia 10 ya dharura soma tena uziHizo ni hesabu za mezani sio mazingira halisi
Ukiwa boda boda kuna changamoto za kazi mfano piki piki zikapata hitilafu,tahadhari n.k PESA itatobika hapo sasa haitakuwa simple kupata unachokisema ....
kina hati?Jamani wadau, Nunueni Kiwanja changu Tafadhari.
Mimi Nauza Kiwanja changu mwenyewe JIJINI ARUSHA Kwa Bei Rahisi kabisa ya TSH 7.5 MIL tu.
Kina ukubwa wa 520 SQM.
Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. jirani na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice.
Kutokea Mjini kati pale CLOCK TOWER hadi ENGOSHERATON NI KM 7. Na kutoa Stand ya daladala ya Engo hadi kiwanja kilipo ni Mita 400.
Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii.
Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
Attachments
me nafanyaHiO biashara ya boda Sio realistic kwa Sasa.labda zamani.
Pana mtu alikua na bodaboda 300 enzi zile