Pata milioni 15 kwa mwezi kwa biashara ya bodaboda

Jamaan boss pole Sana jamaan
Kwa KIJIJINI NI ngumu tena hongera hata umeipata bodaboda yako wengine wanaangalia kwenye car trak inavyoibiwa toka Dar mpaka Moro mpaka Mbeya

Ila Kwa Sisi WA mjini boss, akipiga round kariakoo temeke au mbagala utafurahi mwenyewe
 
Ujajumlisha changamoto mfano
Kuibiwa,sound,kukosa wateja ushindani,faini.Hizi business plan wadanganye wastaafu Hela zao hazina kazi
 
AlhamduliLlah.
 
Ujajumlisha changamoto mfano
Kuibiwa,sound,kukosa wateja ushindani,faini.Hizi business plan wadanganye wastaafu Hela zao hazina kazi
biashara zoooooote duniani zinaibiwa, ukiogopa kuibiwa we sio mfanya biashara
 
Jamani wadau, Nunueni Kiwanja changu Tafadhari.
Mimi Nauza Kiwanja changu mwenyewe JIJINI ARUSHA Kwa Bei Rahisi kabisa ya TSH 7.5 MIL tu.
Kina ukubwa wa 520 SQM.
Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. jirani na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice.
Kutokea Mjini kati pale CLOCK TOWER hadi ENGOSHERATON NI KM 7. Na kutoa Stand ya daladala ya Engo hadi kiwanja kilipo ni Mita 400.
Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii.
Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.

Attachments​


  • IMG_20230128_071604_004.jpg
    4.4 MB · Views: 1

  • IMG_20230128_072911_714.jpg
    3.1 MB · Views: 1

  • IMG_20230128_074153_658.jpg
    7.2 MB · Views: 1
 
Hizo ni hesabu za mezani sio mazingira halisi

Ukiwa boda boda kuna changamoto za kazi mfano piki piki zikapata hitilafu,tahadhari n.k PESA itatobika hapo sasa haitakuwa simple kupata unachokisema ....
NDio maana amepiga asilimia 10 ya dharura soma tena uzi
 
kina hati?
kamandio tuwasiliane inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…