Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Mr km bado data zako haujaziona inabidi u-format pc nzima kisha weka window OS tafuta data recovery software ili kupata data zako. Nitakupa njia nzuri ya kuinstall ubuntu. Ninaijua sana hii kitu ukikosea kidogo inalamba data zako zoteMkuuuu kesho ntakusumbua sana
Hapo ni either keyboard au virus au browser yenyewe ina shida kulingana na inavyofunguka ondoa hiyo browser kisha install upyaPC yangu (HP Probook6470b) kila nifunguapo page ya internet, inaweza ikatokea page nyingine tena ambayo hata sijaifungua....
MH USHAURI MZURI LAKINI SOFTWARE HAZITARUDI PLEASEMr km bado data zako haujaziona inabidi u-format pc nzima kisha weka window OS tafuta data recovery software ili kupata data zako. Nitakupa njia nzuri ya kuinstall ubuntu. Ninaijua sana hii kitu ukikosea kidogo inalamba data zako zote
Hao ni virus mr. Tafuta Malwarebytes antivirus yyte i-scan pc yako itaondoa huo uchafuPC yangu (HP Probook6470b) kila nifunguapo page ya internet, inaweza ikatokea page nyingine tena ambayo hata sijaifungua....
Kwa Dar au Mtwara, unafahamu ninakoweza kupata?Hao ni virus mr. Tafuta Malwarebytes antivirus yyte i-scan pc yako itaondoa huo uchafu
Zinarudi ila baadhi mm nina experience na hii kitu. Ishawahi kunikutaMH USHAURI MZURI LAKINI SOFTWARE HAZITARUDI PLEASE
Ingia google search Malwarebytes antivirus download. Watakupa trial lkn itapiga kazi fresh km una mb za kutosha tafuta karspersky antivirus itasaidia.Kwa Dar au Mtwara, unafahamu ninakoweza kupata?
Hapo feni inazunguka sana mkuu kama ukimpata mtaalamu anaweza kuiunganisha kwenye voltages ndogo ipungue speed lakini SAA nyingine joto LA processor ndo linalazimisha feni izunguke sana hivyo waweza kubadili processor kisha uangalieDesktop fan zinapiga sana kelele, nimejaribu kuzisafisha na kuziwekea lubricant lakini bado,nimejaribu kununua zingine lakini bado zinapiga sana kelele
Hilo ni tatizo la CMOS battery imeisha au haipo kabisa inakubidi ubadilishe hill husababisha yote mawili....Ahsante sana mkuu kwa hili jambo,
Pc yangu inamatatizo makuu mawili
1.kila niwashapo inanitaka nibonyeze F1 mara ya kwanza itajiload kwa dk moja hivi itanitaka nibonyeze tena, mwanzo haikuwa hivyo hili limekuja mara baada tuu ya kubadilisha window, na mm silipendi suala la kubonyeza F1 ( silitaki nakata iwe kama awali)
2.Pc ukichomeka tuu nyanya ya moto inajiwasha yenyewe automatic, hilo pia silipendi litokee
Ahsante
Inaweza kukusaidia.Ahsante sana mkuu kwa hili jambo,
Pc yangu inamatatizo makuu mawili
1.kila niwashapo inanitaka nibonyeze F1 mara ya kwanza itajiload kwa dk moja hivi itanitaka nibonyeze tena, mwanzo haikuwa hivyo hili limekuja mara baada tuu ya kubadilisha window, na mm silipendi suala la kubonyeza F1 ( silitaki nakata iwe kama awali)
2.Pc ukichomeka tuu nyanya ya moto inajiwasha yenyewe automatic, hilo pia silipendi litokee
Ahsante
Ahsante sana mkuu,Hilo ni tatizo la CMOS battery imeisha au haipo kabisa inakubidi ubadilishe hill husababisha yote mawili....
Ahsante sana,kwenye suala la pili nimechek botton lkn nimeona ipo sawa sawa, Nsemwae ameniambia nibadilishe betteryInaweza kukusaidia.
SWALI 1
1. Hakikisha pc yako ipo off, washa na kwa haraka Bonyeza F2 usiache hii itakupeleka mpaka kwenye bios nenda mpaka load default setting
2. Kama hauna floppy drive kwenye pc yako na hauna mpango wa kutumia disable Floppy Mode option in BIOS.
3. Look for the option "Halt On" and set it to "No Error".
4. Save the settings and exit from BIOS
SWALI 2.
Angalia sehemu ya button ya kuwashia pc huenda button imeingia ndani. Angalia km inabonyezeka Km unaweza fungua na usafishe.
Hapo ku na mawili betri imekufa au kuna shida kwenye PC..jaribu ku-uniinstall battery drivers halafu zima kisha washa drivers utaziona right click computer au this PC chagua manage nenda device managerMe PC yangu haiingizi charge. Nmetoa na kurudisha battery wap inakataaa. Nifanyaje
Hivyo kwa sisi mostly ni 75k kwa used na 95k kwa newPc yangu imechujia wino kwenye kioo na nusu yake kimevinjika
Je nikiasi gani kinatumika kubadili kioo?
Ni dell latitude E