Pata msaada wa tatizo lolote la kompyuta hapa

Mkuuuu kesho ntakusumbua sana
Mr km bado data zako haujaziona inabidi u-format pc nzima kisha weka window OS tafuta data recovery software ili kupata data zako. Nitakupa njia nzuri ya kuinstall ubuntu. Ninaijua sana hii kitu ukikosea kidogo inalamba data zako zote
 
PC yangu (HP Probook6470b) kila nifunguapo page ya internet, inaweza ikatokea page nyingine tena ambayo hata sijaifungua....
Hapo ni either keyboard au virus au browser yenyewe ina shida kulingana na inavyofunguka ondoa hiyo browser kisha install upya
 
Mr km bado data zako haujaziona inabidi u-format pc nzima kisha weka window OS tafuta data recovery software ili kupata data zako. Nitakupa njia nzuri ya kuinstall ubuntu. Ninaijua sana hii kitu ukikosea kidogo inalamba data zako zote
MH USHAURI MZURI LAKINI SOFTWARE HAZITARUDI PLEASE
 
PC yangu (HP Probook6470b) kila nifunguapo page ya internet, inaweza ikatokea page nyingine tena ambayo hata sijaifungua....
Hao ni virus mr. Tafuta Malwarebytes antivirus yyte i-scan pc yako itaondoa huo uchafu
 
Desktop fan zinapiga sana kelele, nimejaribu kuzisafisha na kuziwekea lubricant lakini bado,nimejaribu kununua zingine lakini bado zinapiga sana kelele
 
MH USHAURI MZURI LAKINI SOFTWARE HAZITARUDI PLEASE
Zinarudi ila baadhi mm nina experience na hii kitu. Ishawahi kunikuta
Hapo inabidi atumie hetman data recovery, minitool au easeus data recovery. Njia nyingine ya kuondoa hiyo issue sidhani km ipo. Nilihangaika sana sikupata suluhu ikabidi niformat pc nzima
N:B
Sidhani km kuna option nyingine zaidi ya kuformat pc. Hebu toa suluhu
 
Ahsante sana mkuu kwa hili jambo,

Pc yangu inamatatizo makuu mawili

1.kila niwashapo inanitaka nibonyeze F1 mara ya kwanza itajiload kwa dk moja hivi itanitaka nibonyeze tena, mwanzo haikuwa hivyo hili limekuja mara baada tuu ya kubadilisha window, na mm silipendi suala la kubonyeza F1 ( silitaki nakata iwe kama awali)

2.Pc ukichomeka tuu nyanya ya moto inajiwasha yenyewe automatic, hilo pia silipendi litokee

Ahsante
 
Desktop fan zinapiga sana kelele, nimejaribu kuzisafisha na kuziwekea lubricant lakini bado,nimejaribu kununua zingine lakini bado zinapiga sana kelele
Hapo feni inazunguka sana mkuu kama ukimpata mtaalamu anaweza kuiunganisha kwenye voltages ndogo ipungue speed lakini SAA nyingine joto LA processor ndo linalazimisha feni izunguke sana hivyo waweza kubadili processor kisha uangalie
 
Ahsante sana mkuu kwa hili jambo,

Pc yangu inamatatizo makuu mawili

1.kila niwashapo inanitaka nibonyeze F1 mara ya kwanza itajiload kwa dk moja hivi itanitaka nibonyeze tena, mwanzo haikuwa hivyo hili limekuja mara baada tuu ya kubadilisha window, na mm silipendi suala la kubonyeza F1 ( silitaki nakata iwe kama awali)

2.Pc ukichomeka tuu nyanya ya moto inajiwasha yenyewe automatic, hilo pia silipendi litokee

Ahsante
Hilo ni tatizo la CMOS battery imeisha au haipo kabisa inakubidi ubadilishe hill husababisha yote mawili....
 
Ahsante sana mkuu kwa hili jambo,

Pc yangu inamatatizo makuu mawili

1.kila niwashapo inanitaka nibonyeze F1 mara ya kwanza itajiload kwa dk moja hivi itanitaka nibonyeze tena, mwanzo haikuwa hivyo hili limekuja mara baada tuu ya kubadilisha window, na mm silipendi suala la kubonyeza F1 ( silitaki nakata iwe kama awali)

2.Pc ukichomeka tuu nyanya ya moto inajiwasha yenyewe automatic, hilo pia silipendi litokee

Ahsante
Inaweza kukusaidia.
SWALI 1
1. Hakikisha pc yako ipo off, washa na kwa haraka Bonyeza F2 usiache hii itakupeleka mpaka kwenye bios nenda mpaka load default setting
2. Kama hauna floppy drive kwenye pc yako na hauna mpango wa kutumia disable Floppy Mode option in BIOS.
3. Look for the option "Halt On" and set it to "No Error".
4. Save the settings and exit from BIOS

SWALI 2.
Angalia sehemu ya button ya kuwashia pc huenda button imeingia ndani. Angalia km inabonyezeka Km unaweza fungua na usafishe.
 
Ahsante sana,kwenye suala la pili nimechek botton lkn nimeona ipo sawa sawa, Nsemwae ameniambia nibadilishe bettery

Suala la F1.nimefuata maelezo yako nimefanikiwa lkn baade baada ya kuzima na kuwasha bado imedai pia, nadhan nitie kwanza hilo bettery then nicheki

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Me PC yangu haiingizi charge. Nmetoa na kurudisha battery wap inakataaa. Nifanyaje
 
Hapo ku na mawili betri imekufa au kuna shida kwenye PC..jaribu ku-uniinstall battery drivers halafu zima kisha washa drivers utaziona right click computer au this PC chagua manage nenda device manager
 
Pc yangu imechujia wino kwenye kioo na nusu yake kimevinjika

Je nikiasi gani kinatumika kubadili kioo?

Ni dell latitude E
 
Hivyo kwa sisi mostly ni 75k kwa used na 95k kwa new
 
Back
Top Bottom