Ni wakati wako sasa wa wewe kupiga come back ya kutisha na kulipwa fidia, hapo kuna mawili moja ni kufungua kesi ya madai ya ajira, na pili ni kufungua kesi ya madai kwa vitendo vya hila vilivyo fanywa na muajili.... ila focus hapo kwenye kuachishwa kazi bila kufuatwa utaratibu wa kumuachisha mfanyakazi kazi yake, so unaweza kui term kama unfair termination of employment.Ripoti ya mkaguzi wa mahesabu ya ndani ilisema nina kosa la wizi lkn mwajili akanituhumu kwa kosa la kukusudia kuiba na kuniachisha kazi. Walinishitaki polisi kwa kosa la wizi lkn baada ya uchunguzi wa jeshi la polisi nilionekana sina kosa na polisi waliandika barua kuja kwa mwajiri wangu kwamba hawaoni kosa. Hii imekaaje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina madhara na faida ya kesi kusikilizwa upande mmoja?Ni wakati wako sasa wa wewe kupiga come back ya kutisha na kulipwa fidia, hapo kuna mawili moja ni kufungua kesi ya madai ya ajira, na pili ni kufungua kesi ya madai kwa vitendo vya hila vilivyo fanywa na muajili.... ila focus hapo kwenye kuachishwa kazi bila kufuatwa utaratibu wa kumuachisha mfanyakazi kazi yake, so unaweza kui term kama unfair termination of employment.
Mwenyekiti hafungwi na maamuzi ya wazee wa baraza, ni hiari tu kuyachukua au kutokuyachukua.Na je wazee wa baraza akikupa ushindi na mwenyekiti nae anakupa ushindi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unapaswa kujua kwamba tangia pale mtu alivyopatiwa haki ya kumiliki kiwanja hakuna mtu mwingine anaeweza kumnyang'anya kiwanja icho isipokua Rais tu.Mkuu naomba kujua utaratibu wa kisheria wa kumnyang'anya mtu kiwanja chenye Hati Title Deed Miaka 33
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah inawezekana sanaa, endapo pale tu itakapo onekana wakati anaandika wosiah huo alikua mwenye utimamu wa akili na anaelewa analo lifanya. Cases zipoWosia uloandikwa na marehemu wakati anaumwa sana unaweza kutumika? Kama kuna kesi inaonesha hyo naombeni mnisaidie wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani, na hio ni sababu nzuri ya kuimaliza hio kesi iliyofunguliwa mkoa mwingine, kitaalam inaitwa Res Subjudice, lakini vile vile pingamizi jingine ni nguvu ya tume kimipaka 'teritorial jurisdiction' kesi inaisha kwa dk 3 tu.Je kesi ya kikazi iliyo CMA mkoa wa Rukwa inaweza kuhamishiwa mkoa mwingine Kama vile Mwanza kwa ajili ya uamuzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana huu uwezo, akifanya iv kavunja mkataba so una haki ya kudai fidia mbele ya chombo chenye mamlaka.Wakili naomba msaada, Nikweli mwajiri anaweza kusitisha huduma za matibabu yani (Medical Insurance) zilizo kwenye makubaliano ya kimukataba..!!? Pasipo kukupa taarifa zozote juu ya hilo nanukimuuliza anakwambia ameshindwa kukuhudumia kwa sababu za kiuchumi, naomba kuelewa hapa.
Maana Mimi mwajiri kasitisha huduma hii na nimemuandikia demand notice anilipe fidia ya M 200/ kwa kunisababishia usumbufu Mimi na familia yangu.
naomba nishauri kitu mkuu nimeripo polisi na kutoa malalamiko juu ya mtuhumiwa aliyejaribu kunidhuru nimetoa details zote za muhusika maana alijaribu kuniua ajabu askari aliyekabidhiwa kesi ananitaka nimpe elfu 90 kwa ajili ya kumfuatilia mtuhumiwa kupitia namba yake kilichonitisha zaidi askari ananiambia km hali yangu kiafya sio nzuri maan nilijeruiwa vibaya nikae kwanza nijiuguze hadi nitapokuwa vizuri ndio nirudi.Nitafute inbox, swala lako liko mahakamani so siwezi share hapa on public vitu gani ufanye.
Sawa mkuuHaiwezekani, na hio ni sababu nzuri ya kuimaliza hio kesi iliyofunguliwa mkoa mwingine, kitaalam inaitwa Res Subjudice, lakini vile vile pingamizi jingine ni nguvu ya tume kimipaka 'teritorial jurisdiction' kesi inaisha kwa dk 3 tu.
Nenda hospital na hio pf3 ya polisi ambayo bila shaka uliipata, alaf nenda mahakama ya mwanzo ukafungue kesi ya madai ya fidia kuumizwa lakini vile vile jinai kwa kutishiwa maisha, mahakama ya mwanzo ina ruhusu watu waendeshe kesi zao wenyewe.naomba nishauri kitu mkuu nimeripo polisi na kutoa malalamiko juu ya mtuhumiwa aliyejaribu kunidhuru nimetoa details zote za muhusika maana alijaribu kuniua ajabu askari aliyekabidhiwa kesi ananitaka nimpe elfu 90 kwa ajili ya kumfuatilia mtuhumiwa kupitia namba yake kilichonitisha zaidi askari ananiambia km hali yangu kiafya sio nzuri maan nilijeruiwa vibaya nikae kwanza nijiuguze hadi nitapokuwa vizuri ndio nirudi.
nimejiuliza maswali mengi hii inakuwaje kisheria na utaratibu upoje hasa ebu nishaurini waku kabla maamuzi mengine maan naona kuna kiumbe kinataka kufanya matatizo ya watu fursa sasa..