Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

Kwa hiyo ubuyu wa mia mia na vitumbua ndo vifanye watu wa Dar na Pwani wawe matajiri, unajivunia utajiri wa watu wa kuja.....
Wakuja kwao maskini...ndio hao wauza ubuyu
 
Huna lolote wivu tu unakusumbua..ingeongoza njombe ungeomba hizo GDP..kaa utulie kanda ya ziwa inaendelea kuupiga mwingi.

#MaendeleoHayanaChama
Wivu wa nini? Uchumi wa Kanda ya Ziwa ni sawa na Nigeria inavyoongoza kwa GDP kubwa Afrika but life is horrible..

High income dispaity na fedha ni za sekta ambazo sio za wananchi,sasa wangapi wako kwenye migodi ya dhahabu?

Huu ndio ukweli mchungu hata kama hutaki.Wakileta taarifa za Hali ya umaskini lazima muwe wa mwisho na Njombe iko nyuma ya Dar .
 
Huna lolote wivu tu unakusumbua..ingeongoza njombe ungeomba hizo GDP..kaa utulie kanda ya ziwa inaendelea kuupiga mwingi.

#MaendeleoHayanaChama
Yaani Mbeya iizidi mwanza yaani mji kama kijiji! Hivi hujiulizi kwa nini hata Fari Ipupa akitoka Dar anaende mwanza kupiga shoo! Yaani hata huko Mbeya wafanya biashara wa madini na mazao ni Wasukuma na watu wa kanda ziwa,
 
Kanda ya ziwa inabebwa ma migodi.
Bila dhahabu huko ni useless and horrible life,next year tena watafika mbali zaidi maana mgodi mkubwa mpya unafunguliwa Sengerema na maviwanda ya kusafisha madini.
 
mwanza ina mgodi gani mkubwa saiv?
 
Ila bado ndio inachangia pato kubwa katika uendeshaji wa nchi..barabara zinazojengwa huko ni jasho la watu wa kanda ya ziwa kwa sehemu kubwa..acha mapuuza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Bila dhahabu huko ni useless and horrible life,next year tena watafika mbali zaidi maana mgodi mkubwa mpya unafunguliwa Sengerema na maviwanda ya kusafisha madini.
Na wawekezami wa Migodi hiyo ya Sengerma ni wazawa! Hata kiwanda cha dhahabu Geita ni cha mzawa tena mwanamke! Hivi unajua Dar mnajifanyaga wajanja lakini kwenye miamala hata hapo Dar watu wa kuja ndo wanoongoza!
 
Ruvuma no.10 ni mkoa wangu lakini naomba wadau nijue kwa kigezo kipi imeshika iyo no.10 sabab najua tunategemea Sana kilimo Cha zao moja ( mahindi) na masoko nowdays yameyumba Hali ni mbaya Sana
Tupo huku mbinga tunapiga kahawa
 
mwanza kuna mgodi gani mkubwa?
 
Yaani Mbeya iizidi mwanza yaani mji kama kijiji! Hivi hujiulizi kwa nini hata Fari Ipupa akitoka Dar a aende mwanza kupiga shoo! Yaani hata huko Mbeya wafanya biashara wa madini na mazao ni Wasukuma na watu wa kanda ziwa,
Hata wawe wa kutoka Ulaya , mwisho wa siku wanafaidisha Mbeya.

Narudia kukwambia huko Usukumani madini hayajawahi wasaidia zaidi ya kugaidisha serikali na makampuni ya wazungu.

Mwisho toa takwimu za Simiyu uone aibu ya Mwanza Hapo.Bila kumega Songwe,GDP ya Mbeya ilikuwa unasoma 11,Juu ya Mwanza na hakuna Migodi hapo..

Hushangai makusanyo ya Jiji tuliwapiga? Utaishia kujilisha upepo wa sijui kijiji sijui nini sisi tunasonga Mbele.
 
mwanza kunamgodi gani mkubwa?
 
Mbona siioni Manyara hapo? Tanzanite haileti pato?
 
Tanga siku hizi ina pato gani la kuishinda Arusha? Utalii na vito havileti pato?
Mwaka hana ama juzi niliona Njombe ikiwa ya pili kwa per capita, nadhani hiki ndio kipimo kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…