Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

Kafa bila kutumia mafao yake ya kustaafu maskini.
 
Tumuache apumzike?

Kwani tukiongea tunambebesha makaraii ya lami za mabarabara huko kuzimu?

Waafrika bana na maimani yetu ya kijima. Mtu kafa tunaambiwa tumwache apumzike.... tusimjadili
Wana matatizo ya akili hao watakuchosha bure
 
Tumia Elimu yako vizuri utafanya kazi hata ukiwa na miaka 90.
ukiona umestaafu na miaka 60 ukaa nyumban hautwi hata kufanya MENTOR tambuwa mchango wako ulikuwa mdogo .
Mwangalie Professor Lipumba
 
Tumia Elimu yako vizuri utafanya kazi hata ukiwa na miaka 90.
ukiona umestaafu na miaka 60 ukaa nyumban hautwi hata kufanya MENTOR tambuwa mchango wako ulikuwa mdogo .
Mwangalie Professor Lipumba
Utumishi wa umma una taratibu zake tofauti na private mkuu,private ni kama hakuna kustaafu,
 
Hivi mkuu ulivoandika hivi ni kua humjui kabisa Mfugale? Huyu ndio mtu pekee wa karibu wa Hayati Mwenda labda kuliko hata Mama Jesca.

So kama alivo Hayati, huyu sheria zako hazi apply kwake.
 
Ni
ni 1953 sio 1950
Poleni wana familia
 
Hata kama tukijadili na kujua tofauti na tunalolijua haitasaidia na wala hatarudi, tuelekezane ulipo msiba na ikibidi mtupe ratiba ili tushiriki misosi na makunywaji
 
Ajira sio hisani, kama uwezo alikuwa nao kwanini asiongezewe mkataba?
 
Tuna shida kubwa kuelewa

Mfugale hata angekus n 75 if he was fit.... Tungrmhitaji

Tofautisha umri wa tarishi na umri wa leader
 
Katika hali ya kawaida serikali inaweza kumuongezea muda wa utumishi serikalini mtumishi ye yote wakati ikijipanga kuandaa watumishi wengine wanaoweza kuchukua nafasi ya mtumishi anayestaafu. Kitendo cha Mhandisi Mfugale kuongezewa muda wa utumishi wa serikalini kwa muda usiojulikana hadi anafariki dunia ni dharau iliyopindukia kwa watumishi wengine wa TANROADS na kuna kila dalili za ufisadi na wizi wa fedha za umma kupitia TANROADS.

Haingii akilini kuwa hakuna Mtanzania mwingine ye yote ambaye angeshindwa kuchukua nafasi ya Mfugale baada ya kupata mafunzo stahiki! Kuna haja na sababu muhimu kufanyika kwa uchunguzi kwa nini Mfugale akaongezewa muda mrefu kiasi hicho. Aidha kuna haja ya kufanya uchunguzi kwa watumishi wote walioongezewa muda kupindukia uhusiano wao na watawala. Mfano mwingine wa mtumishi aliyeongezewa muda kupindukia ni marehemu Kijazi.

Uchunguzi huu ni muhimu na hasa kipindi hiki ambacho vijana wengi wanakosa ajira na hivyo kuwanyima fursa za kuonyesha vipaji vyao.

Mfugale alizaliwa mwaka 1953 na alipaswa kustaafu mwaka 2013 baada ya kutimiza umri wa miaka 60.
 
Kuna Kazi kulingana na ufanisi wako na ubobezi inabidi wakushikiliye kwa muda, hili uendelee kuleta tija kwa taifa, nafikiri engineer Mufugale ndiyo engineer wa Kwanza kuweza kuleta tija kwa taifa kwa ujumla. Ukiangalia mtandao wa barabara, madaraja japo wapo maengineer wengi lakini hawakufikia kipaji cha Mufugale, kwenye nchi za watu wenye uelewa wa taaluma hizi hata ukifika miaka 100 Kama Unaweza deliver wanakuacha hili taifa liendelee kufaidi n talent yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…