TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Biblia hiyohiyo inasema kuwa yeyote anayeua kwa upanga nae atakufa kwa upanga.
Usikariri maandiko ndo maana umesema mwenyewe yeyote anayeua kwa upanga atauliwa kwa upanga ni sawa na yeyote anayefurahia kifo cha mwenzake badala ya kusikitika mauti yako mlangoni mwake maana Mungu hathihakiwi apandalo mtu ndo atakalovuna ukipanda uovu utavuna uovu so nimuhimu sana kumwachia Mungu mambo yanayomhusu kwa maana hata wewe na mimi tuna makosa mengi tunahitaji msamaha pia, Na hauwezi kujua unayemhukumu huyo yawezekana alitubu kabla ya mauti na akapokelewa na Mungu.
 
You COVID-19 season 3; go away!! Ondokaaa!!
RIP Engineer
 
Daraja la Kijazi.... Daraja la Mfugale.... huku sio kuchuriana? Wazee wa maeneo husika wamekasirika! Turudishe majina ya asili ya maeneo husika! Daraja la Tazara, Daraja la Ubungo, stendi ya Kuu ya Mabasi Mbezi Louis!
Mwendawazimu na legacy yake wanawachukilia poa sana watu wa Pwani. Wakuja wananuka mifugo leo wanafuta akili za watu na wamejipa majina kwa wazaramo, acha wafe watajua hawajui.
 
Dada mbona unaongea kama vile umekalia kitu chenye ncha kali?

Tangu yule mwendawazimu amefariki naona hujatulia kabisa 😊😊

Au umeathirika kisaikolojia?
 
Mfalme Daudi alipokuwa anaenda vitani na kuua maadui zake wengi hakua anafurahia vifo vyao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…