Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hakika.....Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Bw. Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.
RIP Boss!
Bora tupewe chanjo tuThe Managing Director Patrick Mfugale is dead!!
utakuwa unapita kwenye daraja unasoma jina pale,chaguo lako ujinyee au ujitie kidole unuse.Legacy ya Mwendawazimu… akamsalimie sana JEHANAMU huko.
Labda baba mdogo.Kujifanya mjuaji eti Mfugale kaacha alama
Kwa taarifa yako baba yake ni fogo wa long time Peacock hotel Kisutu
Mkuu Eng Mfugale siyo school mate wa Eng Prof Lema.Shukrani, na huu hapa wasifu uliosomwa na engineer Ninatubu Lema ambaye ni school mate wake engineer Mfungale katika ngazi mbalimbali za elimu. Wasifu huo ulisomwa wakati wa uzinduzi wa Mfungale Flyover bridge jijini Dar es Salaam mwaka 2018
Source : Azam TV