Hii lugha sio ,umechapia mbayaThe chief executive officer of TanRoads have passed on.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii lugha sio ,umechapia mbayaThe chief executive officer of TanRoads have passed on.
Mkuu nikumbushe kashfa zake huyu marehemu.Acha uongo wewe, sifa hizo hana, alikuwa kama mwendazake tu
Deo Mfugale ndo nani?Mkuu nikumbushe kashfa zake huyu marehemu.
Si vyema kumjazia tuhuma kwakuwa tu alifanyakazi kwa karibu na marehemu rais wa awamu ya tano.
Kwenye serikali ya Magufuli pia kulikuwa na watendaji wazuri wenye weledi, na mmoja wao ni Deo Mfugale.
Hata mama Samia ambaye leo anasifiwa sana hapa jf, alifanya kazi na mwendazake.
Deo Mfugale hakuwahi kupata tuhuma za ufisadi, hakuwa na mbwembwe wala majivuno.
Apumzike kwa Amani
Mkuu nimekosea, ni kawaida kama binadamuDeo Mfugale ndo nani?
Aisee !!Pumzika kwa amani ndugu yetu.Kazi uliifanya kwa uhakika.Tunabaki tukiwa na maumivu kwani ni miezi mitatu tu ,toka Rais wetu jembe afariki.Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi
Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Tanzania ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa.
Tutaendekea kuwapasha kinachoendelea.
Apumzike kwa Aman
Wasifu:
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Consalata Fathers Primary School mjini Iringa
-1975 Alimaliza elimu yake ya shule ya upili katika shule ya upili ya Moshi.
-1977-Mfugale aliajiriwa katika wizara ya ujenzi
-1983 alijipatia shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Rocky nchini India
-1991 Mfugale alisajiliwa kama muhandisi mtaalam.
-1992- Aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa barabara za mikoa.
-1994-1995-Alipokea shahada yake ya pili katika chuo kikuu cha Loughborough, nchini Uingereza
-2003-Alipokea tuzo ya Distinguished Engineering Accomplishment.
-Aliteuliwa kuwa muhandisi mkuu wa madaraja nchini Tanzania wakati huohuo na akiwa masomoni nchini Uingereza mwaka 1995 alitafiti na kutengeneza mfumo wa madaraja nchini.
-Alitengeza mfumo wa usimamizi wa madaraja kwa jina Tanzania Bridge Management System
-2014- Alisajiliwa kuwa muhandisi mshauri na kuwa mwanachama wa chama cha wahandisi Tanzania.
-Ametumia muda wake mwingi kama mtaalamu wa madaraja .
Alibuni daraja la Malagarasi lenye mita 178 kwa shilingi za Tanzania milioni 300.
-Baadhi ya madaraja aliyoweza kusimamia yakakamilika kujengwa ni:
- Mfugale akiwa mtendaji mkuu wa Tanroads amesaidia ujenzi wa madaraja 1400 nchini Tanzania.
- Daraja la Mkapa Rufiji
- Daraja la Umoja linalounganisha Tanzania na Mozambique huko Ruvuma.
- Daraja la Rusumo
- Daraja la Kikwete huko Malagarasi.
- Daraja la Nyerere huko Kigamboni
Amebuni na kusimamia barabara za kitaifa zenye urefu wa takriban kilomita 36,258.
-2018 Alituzwa tuzo ya uhandisi ya Engineering Execellency
- Alikuwa Mwenyekiti wa kikosi cha ujenzi wa Reli ya kisasa SGR inayoendelea kujengwa.
- Alikuwa mjumbe wa timu ya majadiliano ya miradi mikubwa ya umeme.
Picha: Daraja la Kikwete mto Malagarasi Daraja la Kikwete lililopo Mto Malagarasi
pumzika kwa amani mtendajiPatrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.

Acha uongo mkuu......!!Kijana na kilio cha chanjo, wake up, angalia aljeezera watu waliochanjwa wamelazwa kwa corona huko Russia. Uganda sasa wanaokufa ni wale waliochanjwa hata M7 amelazwa ingawa amechanjwa.
Pumzika kwa amani Engr. Mfugale, mwana mwema wa mama Tanganyika. Ahsante kwa utumishi wako kwa mama Tanganyika!Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi
Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Tanzania ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa.
Tutaendekea kuwapasha kinachoendelea.
Apumzike kwa Aman
Wasifu:
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Consalata Fathers Primary School mjini Iringa
-1975 Alimaliza elimu yake ya shule ya upili katika shule ya upili ya Moshi.
-1977-Mfugale aliajiriwa katika wizara ya ujenzi
-1983 alijipatia shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Rocky nchini India
-1991 Mfugale alisajiliwa kama muhandisi mtaalam.
-1992- Aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa barabara za mikoa.
-1994-1995-Alipokea shahada yake ya pili katika chuo kikuu cha Loughborough, nchini Uingereza
-2003-Alipokea tuzo ya Distinguished Engineering Accomplishment.
-Aliteuliwa kuwa muhandisi mkuu wa madaraja nchini Tanzania wakati huohuo na akiwa masomoni nchini Uingereza mwaka 1995 alitafiti na kutengeneza mfumo wa madaraja nchini.
-Alitengeza mfumo wa usimamizi wa madaraja kwa jina Tanzania Bridge Management System
-2014- Alisajiliwa kuwa muhandisi mshauri na kuwa mwanachama wa chama cha wahandisi Tanzania.
-Ametumia muda wake mwingi kama mtaalamu wa madaraja .
Alibuni daraja la Malagarasi lenye mita 178 kwa shilingi za Tanzania milioni 300.
-Baadhi ya madaraja aliyoweza kusimamia yakakamilika kujengwa ni:
- Mfugale akiwa mtendaji mkuu wa Tanroads amesaidia ujenzi wa madaraja 1400 nchini Tanzania.
- Daraja la Mkapa Rufiji
- Daraja la Umoja linalounganisha Tanzania na Mozambique huko Ruvuma.
- Daraja la Rusumo
- Daraja la Kikwete huko Malagarasi.
- Daraja la Nyerere huko Kigamboni
Amebuni na kusimamia barabara za kitaifa zenye urefu wa takriban kilomita 36,258.
-2018 Alituzwa tuzo ya uhandisi ya Engineering Execellency
- Alikuwa Mwenyekiti wa kikosi cha ujenzi wa Reli ya kisasa SGR inayoendelea kujengwa.
- Alikuwa mjumbe wa timu ya majadiliano ya miradi mikubwa ya umeme.
Picha: Daraja la Kikwete mto Malagarasi Daraja la Kikwete lililopo Mto Malagarasi
Na ule ukumbi wa ikulu wa JK... Hawa watu sijui na hamnazo kweli au wanajifanya kuwa hamnazo? RIP Engineer MfugaleUnamaoni gani kuhusu daraja la Kikwete na kile kitengo cha moyo chenye jila lake.
RIP P. Mfugale.
Na bado watu wanamuita mwizi. Hawa waja hawa...badala ya kusema asante watu wengine, kwa hila wanamtwika mizigo isiyomuhusuKatika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Bw. Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.
RIP Boss!
Mwendawazimu na legacy yake wanawachukilia poa sana watu wa Pwani. Wakuja wananuka mifugo leo wanafuta akili za watu na wamejipa majina kwa wazaramo, acha wafe watajua hawajui.
Nimekwambia unionyeshe masimango yoyote niliyoyaandika popote, kwenye uzi huu, humu JF au popote pale duniani. Hadi sasa umeshindwa.
Nakukumbusha tena, wapi nimetoa simango lolote achilia mbali masimango, popote?
If you are unable to show, please shut up!