TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Acha uongo wewe, sifa hizo hana, alikuwa kama mwendazake tu
Mkuu nikumbushe kashfa zake huyu marehemu.
Si vyema kumjazia tuhuma kwakuwa tu alifanyakazi kwa karibu na marehemu rais wa awamu ya tano.
Kwenye serikali ya Magufuli pia kulikuwa na watendaji wazuri wenye weledi, na mmoja wao ni Mfugale.
Hata mama Samia ambaye leo anasifiwa sana hapa jf, alifanya kazi na mwendazake.
Mfugale hakuwahi kupata tuhuma za ufisadi, hakuwa na mbwembwe wala majivuno.
Apumzike kwa Amani
 
Deo Mfugale ndo nani?
 
Du
Aisee !!Pumzika kwa amani ndugu yetu.Kazi uliifanya kwa uhakika.Tunabaki tukiwa na maumivu kwani ni miezi mitatu tu ,toka Rais wetu jembe afariki.
 
pumzika kwa amani mtendaji
 
Kijana na kilio cha chanjo, wake up, angalia aljeezera watu waliochanjwa wamelazwa kwa corona huko Russia. Uganda sasa wanaokufa ni wale waliochanjwa hata M7 amelazwa ingawa amechanjwa.
Acha uongo mkuu......!!
 
Pumzika kwa amani Engr. Mfugale, mwana mwema wa mama Tanganyika. Ahsante kwa utumishi wako kwa mama Tanganyika!
 
Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Bw. Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.

RIP Boss!
Na bado watu wanamuita mwizi. Hawa waja hawa...badala ya kusema asante watu wengine, kwa hila wanamtwika mizigo isiyomuhusu
 
Mwendawazimu na legacy yake wanawachukilia poa sana watu wa Pwani. Wakuja wananuka mifugo leo wanafuta akili za watu na wamejipa majina kwa wazaramo, acha wafe watajua hawajui.

Hebu tumieni akili zenu za kuzaliwa hata kama mnatumia fake ID’s
 
Kaaazi kwelikweli! Mtu anaponda wenzake utadhani yeye hajawahi kosea hata siku moja@ tujifunze kuwa mkamilifu ni mungu pekee Basi.
 

Basi tulia kama na wewe kumbe ni Binadamu na siku moja utakufa,kilichokuwa kinakufanya hadi ukashifu kisa Fly Over imepewa jina la Mfugale ni nini basi? Yes,he is Gone,but na wewe utakufa ni swala la muda tu,weka akiba ya maneno na usijitoe ufahamu kisa unatumia fake ID hapa.Uwe na wakati mzuri wa kutafakari maisha yako na si kuwa Judge wa maisha ya wengine.
 
Rest In Peace kamanda Mfugale.
Tutakukumbuka kwa mema mengi uliyoifanyia nchi yetu. Wewe na kamanda Jpm (tangu akiwa waziri wa ujenzi) mmeiinua sana nchi hii kwenye ujenzi wa madaraja na barabara kwa ujumla. Mfugale flyover ni kielelezo tosha. Let both of you rest in peace till we meet again 💪🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…