Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
wacha uzandiki wewe!Atakuwa ameondoka na hii phase 3, watanzania tujifunze kustaafu umri ukisogea, toka 77 upo kazini kweli jamani hakuna watanzania wengine? angekuwa ametulia na wajuu haya yasingetokea labda
Rip engineer. What is the cause of such sudden death? La Corona?Hii habari ina ukweli ni nimeona page ya habari leo ni nikareta uzi hapa @moderate wakaufuta.View attachment 1834598
Tuliza sehemu za siri mkuuwacha uzandiki wewe!
Kama Rusomo unasema iko Mara basi sioni ni kwa namna gani tuendelee kukuaminiPatrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP...
Hayo madaraja amejnga au amesimamia ujenzi wake?Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP....
UmedemkaKama kafariki itakuwa jamaa malaika wamempa kitengo cha ujenzi anaita masela zake
Nyerere hakupenda majina yake kutumika akiwa hai alisema ni uchuro.Msaidizi wa dikteta anapofariki ni jambo jema sana na la kutia matumaini.
View attachment 1834607
Nimerekebisha, shukrani kwa kuona mkanganyiko. Sasa data zote zipo sahihi kwa kadri ya vyanzo vyake.Kama Rusomo unasema iko Mara basi sioni ni kwa namna gani tuendelee kukuamini
Alikuwa kwenye hali gani?Kwa hali niliyokuwa namuona sishangai kufariki kwake. Mungu amjaalie kauli thabiti ana ampunguzie adhabu ya Kaburi. Hakika kwake tutarejea.
Covid ya tatu hiyo
Jamaa alikuwa mwizi sana na anajua ufisadi wote waliofanya na jiwe kwenye miradi..
Aende kunakostahili.
Mbona baregu hukusema ni covid?Covid ya tatu hiyo
Jamaa alikuwa mwizi sana na anajua ufisadi wote waliofanya na jiwe kwenye miradi..
Aende kunakostahili.