humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
3rd vvvvv ndio nini King Kong?Poleni ndugu na familia.
3rd vvvvv.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3rd vvvvv ndio nini King Kong?Poleni ndugu na familia.
3rd vvvvv.
BBaregu aliugua muda mlefu Sana toka mwaka jana
Unahisi akifa ndio umasikini kwenye ukoo wako utaisha?Legacy ya Mwendawazimu… afie mbali huko…[emoji1494][emoji1736][emoji1494][emoji1736][emoji1494][emoji1736]
RIP Patrick Mfugale, Engineer aliyeboboea, mtu asiye na makuu, hakuwa na mdomo wa kubwabwaja kama ma CEO wengi.Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi
Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Tanzania ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa.
Tutaendekea kuwapasha kinachoendelea.
Apumzike kwa Aman
Wasifu:
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Consalata Fathers Primary School mjini Iringa
-1975 Alimaliza elimu yake ya shule ya upili katika shule ya upili ya Moshi.
-1977-Mfugale aliajiriwa katika wizara ya ujenzi
-1983 alijipatia shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Rocky nchini India
-1991 Mfugale alisajiliwa kama muhandisi mtaalam.
-1992- Aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa barabara za mikoa.
-1994-1995-Alipokea shahada yake ya pili katika chuo kikuu cha Loughborough, Braunshweig nchini Uingereza
-2003-Alipokea tuzo ya Distinguished Engineering Accomplishment.
-Aliteuliwa kuwa muhandisi mkuu wa madaraja nchini Tanzania wakati huohuo na akiwa masomoni nchini Uingereza mwaka 1995 alitafiti na kutengeneza mfumo wa madaraja nchini.
-Alitengeza mfumo wa usimamizi wa madaraja kwa jina Tanzania Bridge Management System
-2014- Alisajiliwa kuwa muhandisi mshauri na kuwa mwanachama wa chama cha wahandisi Tanzania.
-Ametumia muda wake mwingi kama mtaalamu wa madaraja .
Alibuni daraja la Malagarasi lenye mita 178 kwa shilingi za Tanzania milioni 300.
-Baadhi ya madaraja aliyoweza kusimamia yakakamilika kujengwa ni:
- Mfugale akiwa mtendaji mkuu wa Tanroads amesaidia ujenzi wa madaraja 1400 nchini Tanzania.
- Daraja la Mkapa Rufiji
- Daraja la Umoja linalounganisha Tanzania na Mozambique huko Ruvuma.
- Daraja la Rusumo
- Daraja la Kikwete huko Malagarasi.
- Daraja la Nyerere huko Kigamboni
Amebuni na kusimamia barabara za kitaifa zenye urefu wa takriban kilomita 36,258.
-2018 Alituzwa tuzo ya uhandisi ya Engineering Execellency
- Ni Mwenyekiti wa kikosi cha ujenzi wa Reli ya kisasa SGR inayoendelea kujengwa.
- Ni mjumbe wa timu ya majadiliano ya miradi mikubwa ya umeme.
Picha: Daraja la Kikwete mto Malagarasi Daraja la Kikwete lililopo Mto Malagarasi
Hivi huyu ndie mmiliki wa Ebony FM iringa,na Peacock Hotel mnazi mmoja?
Anyway R.I.P
Majizi nyie na walafi wa kodi zetu , ndio chanzo cha umasikini wa ukoo wangu.Unahisi akifa ndio umasikini kwenye ukoo wako utaisha?
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi
Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Tanzania ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa.
Tutaendekea kuwapasha kinachoendelea.
Apumzike kwa Aman
Wasifu:
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Consalata Fathers Primary School mjini Iringa
-1975 Alimaliza elimu yake ya shule ya upili katika shule ya upili ya Moshi.
-1977-Mfugale aliajiriwa katika wizara ya ujenzi
-1983 alijipatia shahada yake ya kwanza katika chuo kikuu cha Rocky nchini India
-1991 Mfugale alisajiliwa kama muhandisi mtaalam.
-1992- Aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa barabara za mikoa.
-1994-1995-Alipokea shahada yake ya pili katika chuo kikuu cha Loughborough, nchini Uingereza
-2003-Alipokea tuzo ya Distinguished Engineering Accomplishment.
-Aliteuliwa kuwa muhandisi mkuu wa madaraja nchini Tanzania wakati huohuo na akiwa masomoni nchini Uingereza mwaka 1995 alitafiti na kutengeneza mfumo wa madaraja nchini.
-Alitengeza mfumo wa usimamizi wa madaraja kwa jina Tanzania Bridge Management System
-2014- Alisajiliwa kuwa muhandisi mshauri na kuwa mwanachama wa chama cha wahandisi Tanzania.
-Ametumia muda wake mwingi kama mtaalamu wa madaraja .
Alibuni daraja la Malagarasi lenye mita 178 kwa shilingi za Tanzania milioni 300.
-Baadhi ya madaraja aliyoweza kusimamia yakakamilika kujengwa ni:
- Mfugale akiwa mtendaji mkuu wa Tanroads amesaidia ujenzi wa madaraja 1400 nchini Tanzania.
- Daraja la Mkapa Rufiji
- Daraja la Umoja linalounganisha Tanzania na Mozambique huko Ruvuma.
- Daraja la Rusumo
- Daraja la Kikwete huko Malagarasi.
- Daraja la Nyerere huko Kigamboni
Amebuni na kusimamia barabara za kitaifa zenye urefu wa takriban kilomita 36,258.
-2018 Alituzwa tuzo ya uhandisi ya Engineering Execellency
- Ni Mwenyekiti wa kikosi cha ujenzi wa Reli ya kisasa SGR inayoendelea kujengwa.
- Ni mjumbe wa timu ya majadiliano ya miradi mikubwa ya umeme.
Picha: Daraja la Kikwete mto Malagarasi Daraja la Kikwete lililopo Mto Malagarasi
Vp UNYENYEKEVU kama Mwendazake!Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.
RIP Boss!
Mmh au mama ana cheza nao nini
Mzee Mfugale mwenye Peacock Hotel Dsm, siyo huyo.Hivi huyu ndie mmiliki wa Ebony FM iringa,na Peacock Hotel mnazi mmoja?
Anyway R.I.P
Mbowe ni tajiri chini ya utawala huu huu wa ccm.Majizi nyie wa kodi zetu ndio chanzo cha umasikini wa ukoo wangu. Mkafie mbali na mwingie JEHANAMU MaCCM wote.
Legacy ya Mwendawazimu… akamsalimie sana JEHANAMU huko.