TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Atakuwa ameondoka na hii phase 3, watanzania tujifunze kustaafu umri ukisogea, toka 77 upo kazini kweli jamani hakuna watanzania wengine? angekuwa ametulia na wajuu haya yasingetokea labda
wacha uzandiki wewe!
 
Msaidizi wa dikteta anapofariki ni jambo jema sana na la kutia matumaini.
Al-yY.jpg
 
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.

Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP...
Kama Rusomo unasema iko Mara basi sioni ni kwa namna gani tuendelee kukuamini
 
Msaidizi wa dikteta anapofariki ni jambo jema sana na la kutia matumaini.
View attachment 1834607
Nyerere hakupenda majina yake kutumika akiwa hai alisema ni uchuro.

Magufuli - Stendi, Daraja; Mfugale - tower, flyover; Kijazi - Daraja, Flyover.

Maneno ya Nyerere yanaweza kuwa na hoja.

Pale Dodoma napo pana soko nashauri jina kubadilishwa haraka.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
R I P Ndugu mfugale, ujaliwe nuru ya milele.

Masikitiko Ni wale viongozi waliokua timu ya kazi kwa ndugu magufuli wanaisha kwa kiasi kikubwa, lakini yote yana Mungu.

Masikitiko zaidi ni kwa wenzetu wanafurahua maswahibu ya watu hali wakijua Safari bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom