TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

RIP Patrick Mfugale, Engineer aliyeboboea, mtu asiye na makuu, hakuwa na mdomo wa kubwabwaja kama ma CEO wengi.
Kwenye Elimu, sahihisha alienda Loughborough University of Technology, MidLands , Leicester UK.
 
Hivi huyu ndie mmiliki wa Ebony FM iringa,na Peacock Hotel mnazi mmoja?
Anyway R.I.P
 
hii dunia utaijenga na hutaimaliza bali wee ndo utaisha!!
kuna mtu alikuwa na nyumba mtaa mzima,
lakini unazikwa kwenye kashimo kadogo unabanwa hadi mbavu!
kwenye jeneza tunakuona umepiga suti ya bei mbaya kumbe huku chini ndugu zako hawajakuvalisha suruali wala soksi ili kubana matumizi ya pesa zako uliowaachia zisije kuisha!

ukizikwa ndugu ndo wanapofurahi kwamba ndio muda paka kaondoka panya anatawala!!!

baba yangu alikuwa ni tajiri sana ila shida yake alikuwa anatusimanga sana kwa sababu sisi wengine tulichagua kufanyia kazi nyumbani ili faida irudi nyumbani!!

ila alipoanza kuumwa sukari ile ya kinomanoma hapo ndio tukaacha kumuogopa na kumuona ni kama duanzi tuu

ilifikia navuta msuba wangu mbele yake na kumpulizia moshi fuuuuuu!!

god forbid,
i dont give a fkkk

hata alipokufa i didnt care sababu alikuwa ni mkora sana
 

Kwamba:

_____
"Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na Katibu Mkuu ujenzi kuelekea Dodoma kwa safari ya Kikazi

Amezidiwa leo saa tano asubuhi na kukimbizwa Hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma, Tanzania ambapo ndipo Mauti umemfika muda mchache baada ya kufikishwa."
-------------
Leteni Chanjo jamani.
 
Katika kipindi chake hakuna madudu ndani ya TANROADS ambayo hata tetetesi tumezisikia.
Barabara zimejengwa kwa mamia ya kilometa nchini kote.
Mfugale alikuwa ni mtu makini sana.

RIP Boss!
Vp UNYENYEKEVU kama Mwendazake!
 
Majizi nyie wa kodi zetu ndio chanzo cha umasikini wa ukoo wangu. Mkafie mbali na mwingie JEHANAMU MaCCM wote.
Mbowe ni tajiri chini ya utawala huu huu wa ccm.

Naamini ukijigonga hilo bichwa lako yatakujia majina ya watu matajiri hapa tz chini ya utawala huu huu wa ccm!

Diamond tu huyo hajanusa hata darasa la chuo ila ni tajiri chini ya utawala huu huu wa ccm!

Sasa wewe endelea kukaza matakle ukisikiliza porojo za Lisu kwamba ipo siku yeye akiwa rais wako na chadema ndio utakuwa tajiri! Huku ukishangilia watu waliotengeneza alama kwenye koo zao wakifa, ukihisi kwamba umasikini wa ukoo wako ni sababu ya utajiri wao,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…