TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

Alikuibia pesa gani wewe masikini namna hiyo?

Ndio maana rais kawambia acheni porojo za katiba fanyeni kazi!

Vijana mtakufa koo zenu zikiwa zinaliwa na umasikini huku mkitumika kuwapandisha madaraja kina Mbowe!

Mfugale kaacha alama kwenye ukoo wake, wewe ukifa hapo ulipo utaacha nini zaidi ya ukurutu tu?

Alafu eti ametuibia! Amekuibia wew na nani?
Kujifanya mjuaji eti Mfugale kaacha alama
Kwa taarifa yako baba yake ni fogo wa long time Peacock hotel Kisutu
 
Unapigia chapuo kumbukumbu ya ukabila,ukanda na wizi wa fedha za umma?Hata kama nitafukiwa haina shida cha msingi na chenye maana yeye pamoja na yule BLADIFAKENII wa chato wamewahi kufukiwa.
Wewe endelea kujifariji nakwambia kama hutamsamehe yeyote kati ya wabaya wako hata Mungu hatakusamehe. Na ninakwambia usipende sana kushadadia mambo yasiyokuhusu bibilia inasema cheka na wanaocheka na lia na wanao lia.
 
Watu wanavyo comment humu utazani wao hawatakufa kabisa, jamani jamani Kila nafsi iliyoumbwa na Mwenyezi Mungu itaonja mauti, hebu tuwe na akiba ya maneno, maana katika msiba huu, teyari Kuna mtu amekuwa mjane, wapo watoto teyari mayatima wako wajukuu wamekosa babu n.k
 
Atakuwa ameondoka na hii phase 3, watanzania tujifunze kustaafu umri ukisogea, toka 77 upo kazini kweli jamani hakuna watanzania wengine? angekuwa ametulia na wajuu haya yasingetokea labda
Pengine kitaaluma alikuwa juu sana na kupata mrithi wa kiwango chake inakuwa ni ngumu.
 
  • Ni Mwenyekiti wa kikosi cha ujenzi wa Reli ya kisasa SGR inayoendelea kujengwa.
  • Ni mjumbe wa timu ya majadiliano ya miradi mikubwa ya umeme.
-2018 Alituzwa tuzo ya uhandisi ya Engineering Execellency
Sasa hapo mkuu si ungesema ALIKUWA!
 
Back
Top Bottom