Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

Hayo ni mawazo yako binafsi, yeye ni muandishi wa habari hvy amefanya kazi yake, ingekuwa kilichoongelewa ni uongo au kimetoka kwenye mdomo wako bc ungekuwa na hoja.
Hivi mtu anasema mguu bado umevimba ila kwasasa hasikii maumivu, yeye kama muandishi wa habari alishindwa nini kumwambia Mayele awaoneshe watazamaji mguu wake ulivyovimba? Au kipindi kilikuwa ni cha redio sio cha Tv? Kama jambo dogo hilo limemshinda kufanya ni vipi nitawaamini hao wote kuwa hawakuwa na nia mbaya ya kuichafua Yanga?
 
Na ww unajuaje n ukweli au uongo wakati Yanga hawajaongea zaid ya kuwaambia Azam wafute video, bc na wao wangeacha hy video na kumjibu mayele
Huu ni uongo typical aisee.
Yani we hospitali uende waseme mguu umevunjika umevimba eti subiria ushuke ndio tukuweke P.O.P are you serious!?
Kama mguu kuvimba si extracellular fluid husababisha mguu unanyonywa na kukaushwa na kuwekwa P.O.P au chuma!?
Huyu jamaa anajiharibia image aisee mpira ushamshinda.
 
wangeacha hy video na kumjibu mayele
Hiki ndicho anachotaka Mayele na wale wanao onekana nyuma yake.
Yanga hawatamjibu hawataki kumpa ulaji na umaarufu mitandaoni.
Yanga hawataki kupoteza umakini kwenye malengo yao kuanza kujibishana na mtu mjinga au mgonjwa wa akili.
Adui wa Yanga wanataka malumbano ya Yanga na Mayele yawepo kitu ambacho hakita tokea.
 
Mbona manara kila siku anatukana watu mitandaoni na kashfa nzito dhidi ya simba bila ushabiki tatizo mashabiki wa yanga wengi ni empty set wao wanafuata kila anachoambiwa yaani mambo anayofanya manara dhidi ya simba alitakiwa awe jela.
 
Mkuu kila timu inafanya inavyoona ili kulinda brand yake, huyo Manara alichofanya dhidi ya Simba, je Simba mlichukulia hatua gani? Si mliamua kumnyamazia aropoke anavyoweza. Ila Yanga wao wameona hawajatendewa haki na Azam na isitoshe wana mkataba nao wa haki ya kimaudhuhi
 
Mkuu kila timu inafanya inavyoona ili kulinda brand yake, huyo Manara alichofanya dhidi ya Simba, je Simba mlichukulia hatua gani? Si mliamua kumnyamazia aropoke anavyoweza. Ila Yanga wao wameona hawajatendewa haki na Azam na isitoshe wana mkataba nao wa haki ya kimaudhii.
Hawezi kuelewa huyo mbumbumbu
 
Hayo ni mawazo yako binafsi, yeye ni muandishi wa habari hvy amefanya kazi yake, ingekuwa kilichoongelewa ni uongo au kimetoka kwenye mdomo wako bc ungekuwa na hoja.
Yaani mpira wa bongo!!sasa kosa lake ni nini?wao wanataka kusikia kile wanachokipenda tu.Ndio maana leo unaambiwa eti mo sasa amerudi kwenye timu kama zamani!!ni lini alitoka?!!
 
Yaani mpira wa bongo!!sasa kosa lake ni nini?wao wanataka kusikia kile wanachokipenda tu.Ndio maana leo unaambiwa eti mo sasa amerudi kwenye timu kama zamani!!ni lini alitoka?!!
Ety lawama kwa Azam badala ya mhusika mwnyw mayele 😂
 
Back
Top Bottom