Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Mungu ampe maisha marefu na Afya njema Rais Paul Kagame ili aendelee kulinda Watu wake.

Maadui wamekuwa wengi wanatakiwa waonyeshwe cha Mtema kuni.
 
..Fdlr sio tishio kwa Rwanda kwani wamezeeka na walisambaratishwa kitambo.

..Rwanda na Uganda lengo lao kuu ni kuinyonya Drc.
Weakened but not destroyed....

Japo hawana nguvu ila uwepo wao huko umekuwa chanzo cha mgogoro huko Kivu....sio kitisho kwa Rwanda ila ni kitisho kwa amani ya raia wa kivu.
imhotep mtu chake zitto junior
 
Weakened but not destroyed....

Japo hawana nguvu ila uwepo wao huko umekuwa chanzo cha mgogoro huko Kivu....sio kitisho kwa Rwanda ila ni kitisho kwa amani ya raia wa kivu.
imhotep mtu chake zitto junior
Ni kitisho kwa Raia wa Kivu wenye asili ya Kitutsi ndio maana wameanzisha Resistace force ya M23 kwa sababu Jeshi la Congo linawasapoti Inerahamwe.
 
Weakened but not destroyed....

Japo hawana nguvu ila uwepo wao huko umekuwa chanzo cha mgogoro huko Kivu....sio kitisho kwa Rwanda ila ni kitisho kwa amani ya raia wa kivu.
imhotep mtu chake zitto junior

..they are not a factor, or a threat to security in Rwanda

..Rwanda alishavamia Drc 1999 na kukalia eneo kubwa la nchi na waliuwa wakimbizi wengi sana wa Kihutu.

..Kwa ujumla Rwanda walifanya genocide ya Wahutu walipoingia na kukalia Drc. Sasa hiyo genocide haikutosha kuwamaliza Fdlr?
 
Fdlr wanadai sababu ya wao kuendelea kubaki huko Drc ni kuwalinda masalia ya wakimbizi wa Kihutu wasiuawe na majeshi ya Kagame...

Ila uwepo wao huko umegeuka mateso kwa Drc, bora warudi tu kwao kwa njia nyingine kama kuwashawishi kidiplomasia maana kuwamaliza kwa nguvu kunaonekana kufeli.....isitoshe kwa Sasa Fdlr wana ushirikiano na makundi mengine ya waasi wa maimai hivyo kuwashinda kijeshi tu sio rahisi sana Sana watajichanganya na wenyeji au kujificha.
zitto junior mtu chake
 
Rwanda alishavamia Drc 1999 na kukalia eneo kubwa la nchi na waliuwa wakimbizi wengi sana wa Kihutu.
Rwanda walikuwa na sababu ya kuivamia DRC, Interahamwe na Jeshi la zamani la Rwanda waliingia DRC, na Jeshi la Mobutu halikuwanyang'anya Silaha, kama sheria za Kimataifa zinavyotaka.

Walibaki na Silaha zao, chini ya uangalizi wa Jeshi la Mobutu, ambae alikuwa Mshirika mkubwa wa Serikali ya zamani ya Rwanda, na Mobutu alituma Majeshi kwenda kupigana bega kwa bega dhidi ya RPF.

Kagame akaona Kongo imetake sides kwenye hiyo conflict

Isitoshe Interahamwe wakaanza kuwaua Watutsi wa DRC huku Gavana wa Kivu akiwaunga mkono.

Kagame hakuingia DRC kwa hiyari yake alikuwa anajihami

Ila hilo swala la Hutu Genocide halina ushahidi na kama unao hebu uwdke hapa.
 
Kagame kasaidia kuleta Amani Rwanda.

Lakini ajue ili Amani iendelee Rwanda, ili abaki madarakani asilewe na madaraka. Ashirikiane na upinzani (wahutu), na nchi jirani.

Hawezi kushinda vita yoyote na Tanzania, Kenya, Uganda wala hata DRC yote. Level yake itakuwa Burundi Ila hata Burundi ,TZ itawasaidia.

Uwezo wake utakuwa ugaidi, uhujumu, Vita vya msituni (Gorilla war). Nothing more.
 
Ninachoishauri EAC washughulikie huo mgogoro kwa kidoplamasia zaidi ,na kwa umakini mkubwa , mtutu haujawahi kuleta suluhu yoyote Duniani kabisa..
 

..baada ya genocide ya Wahutu, iliyotekelezwa na Rwanda walipovamia Drc, Fdlr wamekuwa sio tishio tena.
 
..soma hapa.

 
..soma hapa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…