Paul Kagame katoa onyo kwa Kiswahili, walengwa mmepata ujumbe?

Kikosi kimoja tu cha JW kinatosha kuendesha operesheni ya kumuondoa dikteta kagame na akakimbia nchi ndani ya siku 7
 
Kuna wakati UK walitaka wahamiaji haramu wote wa Afrika huno UK wakatupwe kwemye makambi Rwanda kwa malipo maalum, jamaa ni snitch hasa!
Bado wanataka hivyo. Haajanza sababu wanasheria huru wameikomalia serikali.

Swala bado liko mahakama. Serikali au Wanasheria huru yoyote anaweza kushinda.

Anapenda Sana kabila lake pesa nchi yake yeye akiwa kiongozi l.
 
Sijajua jeshi lipi liliua GSU au kipi hicho unapambania, ila elimu yangu iko pale kwamba mpambano wa baina ya nchi ni tofauti, jifunze na kinachowakuta Warusi kule Ukraine.
Westgate pale KDF walivamia wakajikuta wanashoot whatever on site wakiwemo GSU/Recce squad commandoes!!

Ndio nakuuliza kama pale hamkuogopa friendly fire sembuse muogope friendly fire huko Trans Mara au Kapedo au suguta valley!!

Urusi na Ukraine imekuaje? Context hazifanani kabisa..... nyie mmefeli internal wars ila mtaweza vita nchi nyingine. Ukraine wanapigana defensive war unless wangevamia Russia ndio mfano wako ungekua na context sawa.
 
Mbona manguruwe wao wanavuna Ila hamuongei ama monkey mwenzako akikula unaumia. Yaani bana nyie ndio mkiwaga matajiri mnanufaisha watu wa nje huku ndugu zako wakiwa hawapati hata kumi yako. Mbona hao manguruwe ngozi wananufaika na wanaiba mno huko.
Mkuu, Mali za Congo zinaibiwa kwa mkono wa kusababisha conflict kule congo, inapotokea conflit kama ile serikali inakuwa wanaangalia sana, kumaliza shida ya vita na si vitu vingine.

Hicho ninkitabu alichoandika
Professor yaa lengi ngemi
Ambaye ni

Kamyafute YouTube umsikilize ni mcongo..
Utaona jinsi kagame kagame alivyotumiwa na manguruwe haohao kusababisha conflict hio kwa ajili ya ardhi ya congo.
Mkuu hapa tunaongelea nchi ya congo yenye rasilimali za thamani zaidi ya 24 Trillion dollars.
Angalia hii conflit inatokea UPANDE gani mwa congo na congo huo UPANDE kuna nini.
Conflict ipo eastern congo na ndiko kwenye rasilimali nyingi sana hivyo vikundi havitoki huko viko hapo hapo, why.
Na hata second congo war ilipaganiwa eastern congo kati ya rwanda na Angola, havikuenda kwengine.
 
Sina neno la kutia. Ina utajiri wa dola trillion ngapi ,duu yaani afrika kweli sie Ni matajiri kinyama yaani hata wazungu maisha waliyo nayo wakiiba Mali zetu. Ni sawa na ufaransa Ina hifadhi kubwa ya gold Ila Mali inakotoka gold Ni ndogo ama hakuna kabisa. Ni sawa uk Wana madini waliyoiba Tanganyika. Pia imejengwa kwa kuwatumikisha waafrika Kama manamba ama watumwa.
 
Kwani Tanzania kuna democrasia mkuu?
PK mwenye wanajeshi wake wanakufa huko congo
Kichapo cha FARDC
 
Mkuu kumbe hata Iddi amini dada, Gaddafi, Saddam hussen, president abacha, na president Mabutu seseseko kumbe walikuwa na majeshi makubwa pia, au maana waliondolewa kwa aibu kubwa sana.
 
Tulitegemea awe sehemu ya kuwatetea wa Afrika wenzake dhidi ya hao nguruwe, na sio kutumika na manguruwe
Yaani Kama Ni kweli Basi haka kazee Ni ka kumaliza kabisa.yaani kabila moja lisumbue makabila mengi ivyo jamani. Yaani yeye hauoni nguruwe wanapendana wanashirikiana na wanateteana Ila Sasa ukija kwa sie sokwe shida mno.
 

Westgate haikua vita baina ya mataifa, kuna tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…