MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Acha uwongo. Kati ya vitu nchi hii ni zero ni hiyo unayoita vetting.Kuna mambo hii nchi yetu inaweza kuwa imelala..ila sio kila jambo.
Kuwa tu Incharge kwenye Hospitali zetu kubwa mfano JKCI kuna vetting ya hatari inapitishwa..itakuja kuwa Wizara ya ulinzi?.
Na jambo jingine Waziri pale WU anampelekea tu Rais maombi ya Jeshi na bajeti zao..hakuna lingine la maana analoweza kuingilia na kuinfluence lifanyike kama Jeshi halitaki.
Nchi hii, hata teuzi tu Rais huwa anapelekewa majina tu anateua bila kujua chochote.
Mimi Kuna watu nawajua wengi tu, siyo waTZ wamo kwenye system na siyo wabongo.
Kuna Mnyarwanda alisoma English medium fulani iko Karagwe, alivyomaliza La 7 akafaulu akapelekwa O-level Tarime sec, afaulu A-level akapelekwa Ihungo. Tayari akawa kwenye mfumo mpaka mkopo wa chuo na ajira.
Kati ya vitu Tanzania imekaa kizuzu ni Career development and recruitment.
Inategemeana tu na UCHAWA na connection, mtu yeyote anaweza akaokotwa tu akapewa uDED, RC au DC au hata Jeshini kicheo kwenda kusimamia watumishi waliokaa sehemu ya kazi kwa miaka 30.
Tena Kuna watu huwa wanateuliwa mpaka Rais anakuja kusaidiwa MITANDAONI, Mfano mzuri ni uliyekuwa uteuzi wa DG wa TPDC halafu akatumbuliwa baada ya masaa 2.
Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!
Mungu amlaani huyo jamaa agongwe na gari afe na kila alichochukua kirudi eeh mungu unajua sisi tunaziweka nchi za jirani katika hali nzuri kwa mamlaka yako zitulie halafu linyanga'u fulani linasaliti daah mungu yupo nasi na yupo na jeshi letu.