Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
Mama kawajaza sirikalini akili hawana kazi kumsifia nchi inaendelea kuharibika,miradi inasimama ila kuambiwa ukweli hawataki,haya tembezeni Hilo bakuli ila waarabu wao Wana kupa hiki lkn wanataka kile.Kaongea maneno yanayo wachoma🤡
Hamna akili mbwa nyie matahira na mazezeta watupu.
Mnaambiwa ukweli mnaanza kulialia, kwani uongo hatuombiombi, kwani uongo hatuna natural resources? Tupambane na hoja na sio mtoa hoja.Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Swali ni Je Rwanda haiombi ombi? Au kwakwe ni sawa ila Kwa wengine sio sawa?Mnaambiwa ukweli mnaanza kulialia, kwani uongo hatuombiombi, kwani uongo hatuna natural resources? Tupambane na hoja na sio mtoa hoja.
Sasa hapo kawatukana au kawaambia ukweli?Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Yeye amejiacha wapi kwenye huo ukweli?Sasa hapo kawatukana au kawaambia ukweli?
Swali ni Je Rwanda haiombi ombi? Au kwakwe ni sawa ila Kwa wengine sio sawa
Wewe jinga kweli,Rwanda ipi haina Rasilimali?Hata kama wanaomba, inawezekana Wana haki hiyo, hawana resources, walikuwa vitani muda mrefu, nchi Yao ndogo, population ndogo nk. Sisi tuna Kila kitu lakini tun
Hiyo siyo shida yake.Yeye amejiacha wapi kwenye huo ukweli?
Japo simkubaligi huyu jamaa ila hapa kaongea ukweli kabisa.
Kuhusu anaifanyia nini Rwanda ,Rwanda haina rasimali zozote.
Majinga sana ,Wajibu Kagame amefanya kipi wakati Nchi yake Bado ni LDC?Swiss, Luxembourg, Singapore, Austria kuna rasilimali gani? Mnapenda kuwatafutia watu cheap excuses.
Unajua gold refineries kubwa duniani zipo Swiss na Swiss haijawahi kuchimba dhahabu hata siku moja?
Ccm njooni msikilize huyuIf the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame
My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19
Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆
View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19
If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame
My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19
Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆
View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19
Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Poapoa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Atulie mtu mwenye anatawala kamnchi kama wilaya moja tu hapa bongo na anatumia kila njia kulazimisha aonekane kichwa... ila siku sio nyingi ataaibika huyu.
Moja ya Nchi zinazoongoza kupewa mosaada hapa Afrika ni Rwanda.Yah right .... Rwanda hawana rasilimali kama sisi lakini hawatembezi kopo kama sisi. Yaani sisi Maza akiltoka kwenda kutembeza kopo huko nje tunamsifia .... eti kaaenda kututafutia pesa .....!!
Anyway, hiyo statement inazihusu nchi nyingi tu za Kiafrica.