n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Wenye PhD za kutembeza bakuli, ujumbe huu unawahusu.If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds” - President Paul Kagame
My Take
Mdomo Kila mtu anao,swali Je yeye amefanya kipi Cha maana hapo Rwanda wakati Nchi yake ni LDC?
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1751687168903246141?t=NxJF88fOVWuRygoaV1uIoQ&s=19
Zimbabwe na Kenya wameenda Italy kuomba 😆😆
View: https://twitter.com/ali_naka/status/1751742802591981687?t=nyIy2JtjceUcDTKN3AKIKw&s=19
Poapoa tumekusikia. Turudi kwenye mada husika.Kagame ni dictator mwenye akili tofauti na yule mwehu mpenda sifa hayawani aliyewahadaa wananchi wake mpaka wakamwita mungu wao.
Yesu?Kagame ni dictator mwenye akili tofauti na yule mwehu mpenda sifa hayawani aliyewahadaa wananchi wake mpaka wakamwita mungu wao.
Hivi chuki za Waisilamu wa Tanzania dhidi ya Paulo Kagame zinatokana na nin?Mabasha zake si wanatumia vibaraka akiwemo yeye kuvuruga Congo!!?
Moja ya Nchi zinazoongoza kupewa mosaada hapa Afrika ni Rwanda.
Hana hiyo jeuri ila mdomo anao.
Wadogo wenzie kina Equatorial Guinea au Cape Verde ni matajiri yeye anapiga mdomo wakati anapakana na Nchi Tajiri,ana Hifadhi za Wanyama,ana population kubwa na ana Madini.Sawa. ila mdomo unasema ukweli.
Yaani ukubwa na utajiri wa Mkoa wa Geita tu unaizidi Rwanda yote .... Unlike na Rwanda sisi tuna mali nyingi sana.Halafu ni nchi ya AMANI (kama wanavyodai CCM) kwa miaka 62 lakini hamna la maana zaidi ya kuombaomba.
Sisi TZ ni tuna rasilimali nyingi, na ni nchi tajiri.Haina rasimali zozote na ni nchi masikini
Ni wilaya gani ukubwa wa Rwanda inaweza kujilinganisha na Rwanda?Atulie mtu mwenye anatawala kamnchi kama wilaya moja tu hapa bongo na anatumia kila njia kulazimisha aonekane kichwa... ila siku sio nyingi ataaibika huyu.
Utafiti wako umeonesha waislam wa tz wanamchukia kagame!?Hivi chuki za Waisilamu wa Tanzania dhidi ya Paulo Kagame zinatokana na nin?
Au ni kwasababu ana Pua ya Kiarabu na yeye sio Muisilamu?
Waisilamu wa Rwanda wanampenda Raisi wao Paulo Kagame.Utafiti wako umeonesha waislam wa tz wanamchukia kagame!?
Hiyo umesema wewe na sio mimiSisi TZ ni tuna rasilimali nyingi, na ni nchi tajiri.
Hili dongo linagusa almost nchi nyingi mno, iangalie Kenya, Uganda, Zimbabwe na nchi nyingi tu, sio kila kitu kikitamkwa ni cha kukichukia hapana, Yapo ambayo tunaambiana ili kuwekana sawa, turudi katika mstari sahihi, ni upumbavu kujenga biff kwa kauli ambazo zingine zina chembe za ukweli.Tunaposema huyu mtu anachuki na nchi yetu muwe mnaelewa na ana mapandikizi yake kibao kwenye mifumo yetu. Ni wakati Rais aifanyie kazi kikamilifu taarifa aliyopewa na CDF . Hilo dongo ni letu kabisa
Yes, nimesema mimi si wewe.Hiyo umesema wewe na sio mimi
Hakuna sehemu nimesema Tanzania ni nchi tajiri
Mbona unarukaruka,unapiga kachabari!?Waisilamu wa Rwanda wanampenda Raisi wao Paulo Kagame.