Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM


Hapana ! Yupo yule wa manyara pia somebody mnyeti sijui
 
Sio peke yake, na MNYETI wa MANYARA
 
Double std
 
Mh. Rais John Pombe Magufuri tunaomba utuone vijana wako wazalendo tusio na vyama tuko mtaani tunataabika hatuna ajira, uwezo tunao nia ipo na ujasiri wa kuwatumikia watanzania upo.

Ombi letu kwako ni kutufikiria katika nafasi ambazo uliowapa wameziona hazifai.

Mh. Rais huu ndio muda muafaka wa kufanya vetting katika serikali ijayo.

Asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…