Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Tatizo ni nini mkuu alishasema anayetaka kugombea aombe ruhusa kwake yeye ameomba ruhusa sasa tatizo lipo wapi kama sio wivu wa kike nini
 
Mnajisumbua ! cdm na upinzani mweleka mtakaokula mwaka huu sio kidogo
Bado sijaona mgombea anaeweza akausumbua upinzani.ccm wote vilaza wanahanyahanya tu.

Kamuulize bashite kwanini amekimbia ubungo au waitara pale ukonga wanajua kitakacho wakuta ni aibu.✌✌✌✌✌✌✌
 
Nyie mbona hamuelewi? Kwani ni mkuu wa mkoa peke yake aliye kazini kuchukua fomu? Yule mwingine tangu jana amechukua, kwanini msiseme atumbuliwe?

 
Mkurugenzi wa uchaguzi si yuko chini ya mkuu wa mkoa kimadaraka?
 
Kwa chama chetu pendwa ni 100%
Kuchukua form ni asilimia mia moja ticket ya mjengoni hata uwe Gwajima ukitumia mkanda wako wa ngono kujiuza huku ukishindana na wenzio themanini mliochukua form jimbo moja la Kawe? wakati mbunge wake akiwa kwa babu huko Sumbawanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…