cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Kwasababu mda si rafikiKwanini hamjasubiri mpaka tarehe ya mwisho ya kuchukua fomu ndo muanze kuwasema wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu mda si rafikiKwanini hamjasubiri mpaka tarehe ya mwisho ya kuchukua fomu ndo muanze kuwasema wote?
Unadhani atapita kwa mpango wa kura za wananchiHv huyu hajui kuwa nje ya cheo cha mkiu wa mkoa hapendwi balaa, ataziona dharau za wananchi live....labda iwe mpango maalum
Hata mimi nimesikia hizo tetesiWaziri Mkuu ajaye 😁
Hategemei kura yako wala usiwazeHv huyu hajui kuwa nje ya cheo cha mkiu wa mkoa hapendwi balaa, ataziona dharau za wananchi live....labda iwe mpango maalum
Zamu hii ni wasukuma all over the place. Kawe, Kigamboni, etcMnyeti ni msukuma na ni mtoto wa ndugu yake Janeth Magufuli. Kwao ni Misungwi. Na kama ulikuwa hujui ile team ya mpira inayoitwa Gwambina ni ya Mnyeti.
Sio kwa awamu hiiAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kigamboni, kitendo hicho kinaweza kuibua upya madai yake ya kughushi vyeti vya elimu na nyaraka zingine.
Kuna tuhuma kuwa Paul Makonda alitumia vyeti vya Daud Albert Bashite. Siasa ni mchezo mchafu, inaweza kupelekea kuwekewa pingamizi kwenye Tume ya Uchaguzi au ushindi wake kuja kupingwa mahakamani.
Mwaka 1995 Ramadhan Ali Kihiyo alishinda ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, baadae NCCR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kuwa Kihiyo alitumia vyeti visivyo vyake kuwania ubunge. Wakati kesi ikiwa inaendelea Mahakama kuu Kihiyo alijiuzulu ubunge.
Ubunge ni cheo cha kuchaguliwa unaweza kupingwa mahakamani, tofauti na ukuu wa mkoa au uwaziri ambao haupingwi vyeo hivyo hutegemea mapenzi ya aliyemteua.Sio kwa awamu hii
Hizo tuhuma zina ushahidi?Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kigamboni, kitendo hicho kinaweza kuibua upya madai yake ya kughushi vyeti vya elimu na nyaraka zingine.
Kuna tuhuma kuwa Paul Makonda alitumia vyeti vya Daud Albert Bashite. Siasa ni mchezo mchafu, inaweza kupelekea kuwekewa pingamizi kwenye Tume ya Uchaguzi au ushindi wake kuja kupingwa mahakamani.
Mwaka 1995 Ramadhan Ali Kihiyo alishinda ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, baadae NCCR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kuwa Kihiyo alitumia vyeti visivyo vyake kuwania ubunge. Wakati kesi ikiwa inaendelea Mahakama kuu Kihiyo alijiuzulu ubunge.
Mwamuzi wa pingamizi ni wakuteuliwaUbunge ni cheo cha kuchaguliwa unaweza kupingwa mahakamani, tofauti na ukuu wa mkoa au uwaziri ambao haupingwi huo hutegemea mapenzi ya aliyemteua.
Records katika shule alizosoma na waliosoma nae ndio zitatumika kama ushahidi.Hizo tuhuma zina ushahidi?
Ndio muda mwafaka wa kuidhibitishia mahakama kuwa yeye ni Makonda.Hizo tuhuma zina ushahidi?
Aaaah! Kamanda umekosea Sana ungetulia kimyaaaa!mtu aje aliwe kichwa🤗🤗🤗Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kigamboni, kitendo hicho kinaweza kuibua upya madai yake ya kughushi vyeti vya elimu na nyaraka zingine.
Kuna tuhuma kuwa Paul Makonda alitumia vyeti vya Daud Albert Bashite. Siasa ni mchezo mchafu, inaweza kupelekea kuwekewa pingamizi kwenye Tume ya Uchaguzi au ushindi wake kuja kupingwa mahakamani.
Mwaka 1995 Ramadhan Ali Kihiyo alishinda ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, baadae NCCR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kuwa Kihiyo alitumia vyeti visivyo vyake kuwania ubunge. Wakati kesi ikiwa inaendelea Mahakama kuu Kihiyo alijiuzulu ubunge.
Mbona madaktari Mchembs na yule Gwangala wanadunda tu bungeni?Ndio muda mwafaka wa kuidhibitishia mahakama kuwa yeye ni Makonda.
Mbona Bonny alifeli kuzitumia kwenye Tume ya maadili?Records katika shule alizosoma na waliosoma nae ndio zitatumika kama ushahidi.
Ndugai kasomea wapi sheria?Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni lazima awe na angalau shahada moja ya Sheria kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na TCU