Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Hv huyu hajui kuwa nje ya cheo cha mkiu wa mkoa hapendwi balaa, ataziona dharau za wananchi live....labda iwe mpango maalum
Unadhani atapita kwa mpango wa kura za wananchi
 
Mnyeti ni msukuma na ni mtoto wa ndugu yake Janeth Magufuli. Kwao ni Misungwi. Na kama ulikuwa hujui ile team ya mpira inayoitwa Gwambina ni ya Mnyeti.
Zamu hii ni wasukuma all over the place. Kawe, Kigamboni, etc
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kigamboni, kitendo hicho kinaweza kuibua upya madai yake ya kughushi vyeti vya elimu na nyaraka zingine.

Kuna tuhuma kuwa Paul Makonda alitumia vyeti vya Daud Albert Bashite. Siasa ni mchezo mchafu, inaweza kupelekea kuwekewa pingamizi kwenye Tume ya Uchaguzi au ushindi wake kuja kupingwa mahakamani.

Mwaka 1995 Ramadhan Ali Kihiyo alishinda ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, baadae NCCR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kuwa Kihiyo alitumia vyeti visivyo vyake kuwania ubunge. Wakati kesi ikiwa inaendelea Mahakama kuu Kihiyo alijiuzulu ubunge.
 
Sio kwa awamu hii
 
hi.jpg
 
Hizo tuhuma zina ushahidi?
 
Ubunge ni cheo cha kuchaguliwa unaweza kupingwa mahakamani, tofauti na ukuu wa mkoa au uwaziri ambao haupingwi huo hutegemea mapenzi ya aliyemteua.
Mwamuzi wa pingamizi ni wakuteuliwa
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kigamboni, kitendo hicho kinaweza kuibua upya madai yake ya kughushi vyeti vya elimu na nyaraka zingine.

Kuna tuhuma kuwa Paul Makonda alitumia vyeti vya Daud Albert Bashite. Siasa ni mchezo mchafu, inaweza kupelekea kuwekewa pingamizi kwenye Tume ya Uchaguzi au ushindi wake kuja kupingwa mahakamani.

Mwaka 1995 Ramadhan Ali Kihiyo alishinda ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya CCM, baadae NCCR Mageuzi ilienda Mahakamani kupinga kuwa Kihiyo alitumia vyeti visivyo vyake kuwania ubunge. Wakati kesi ikiwa inaendelea Mahakama kuu Kihiyo alijiuzulu ubunge.
Aaaah! Kamanda umekosea Sana ungetulia kimyaaaa!mtu aje aliwe kichwa🤗🤗🤗
 
Back
Top Bottom