Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

Hii imeendaaaaa !!!!!!!
 
Makonda na mzee wa pembe za ndovu ni nani mchafu zaidi ya mwenziwe!! Kinana ni mchafu zaidi ya makonda hivyo hii ni story ya kutunga.
 
Nadhan kama angetaka muongeaji wa kupambana na wapinzani basi hata Chalamila angefaa ila kumrudisha huyu mwamba , naona ni kama kosa na sitegemei wengi kukubaliana na hili ndani ya chama.
 
Umerukia kwenye dini tena? Siasa imekushinda unaleta dini? Ama kweli umekata tamaa!
Sijarukia, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu.
Nafahamu fika, kuwa falasafa ya R 4 za mama Samia ni falsafa ya Kiislam.

Uliza ipi inayokupa shida wewe tukupe ushahidi na jinsi ilivyo njema kutokana na mafundisho ya Kiislam.
Kama hutaki kuzielewa kwa faid yako, hulazimishwi kuzielewa.

Hakuna kukirihishana kwenye dini (La ikrah fi din).
 
Nyie si mlikuwa mnamtusi samia,kawaletea mmuhuni mwenzenu
 
Was the 'uislam wangu' part necessary?
 
Makonda kafanya kile ambacho CCM walitaka, kufanya watu waiongelee CCM sana,

Huyo makonda kuingia hapo ana baraka za vigogo wote, sidhani kama kinana hajatoa baraka zake hapi
Hapo haiongelewi ccm bali anaongelewa muovu Makonda. Na Wala ccm haijamchagua ili iongelewe, Bali watu wanamuongelea Makonda kutokana na uovu wake. Labda kwakuwa ccm ni chama kiovu, hivyo ni sifa kuongelewa kwa mtazamo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…