Emar
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,789
- 2,965
Nipo serious sana, na nakwambia kama una amini katika spiritual na unabii,fatilia hili na Hamna atakaye amini[emoji23] acha nicheke, uko serious na ww?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo serious sana, na nakwambia kama una amini katika spiritual na unabii,fatilia hili na Hamna atakaye amini[emoji23] acha nicheke, uko serious na ww?
Umerukia kwenye dini tena? Siasa imekushinda unaleta dini? Ama kweli umekata tamaa!Hiyo ni falsafa ya Kiislam.
Labda President wa mashogaBaada Ya Samia President ni Makonda
Hii imeendaaaaa !!!!!!!View attachment 2793650
SASA ni rasmi kuwa CCM inaingia na iko kwenye mpasuko mkubwa sana baada ya habari za kuaminiki kutoka kwa watu wa karibu sana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana kuwa anajipanga kujiuzulu umakamu mwenyekiti wa chama hicho kikongwe na king'ang'anizi kutoka madarakani.
Kinana ameweka wazi kuwa anapinga uteuzi wa Paul Makonda kama Katibu Mwenezi wa CCM na pia ameweka wazi kwa watu wake wa karibu kuwa hakushirikishwa na kushauriana kabla ya uteuzi wa Makonda kitu ambacho amekitafsiri kuwa anadharauliwa na hayuko tayari kuburuzwa kwenye mambo ndani ya chama na hataki kuwa sehemu ya historia ya hovyo ndani ya chama hicho kumsafisha Paul Makonda ambaye ana uchafu mwingi sana aliofanya akiwa mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam.
Mtu huyu aliyetupa habari hizi za ndani ndani sana ambaye ni mmoja wa wale wanaofahamika kuwa vijana wa Kinana tena wa karibu sana, amesema tayari Kinana ameomba apointimenti ya kukutana na Mwenyekiti wa CCM kumueleza azma yake hiyo na amesikika kuwa atafanya kwa staili ile ile ya kipindi cha Magufulu alipojiuzulu kupinga ubabe na ukatili wa Magufuli.
Wakati hali ndani ya CCM ikiwa mbaya kiasi hiki tayari kumekuwa na mgawanyiko mkubwa sana ndani ya chama hicho na wazee wa chama na makada wanafikiria kufanya yasiyotarajiwa kwenye uchaguzi wa 2025 na zaidi wamefika mahali kuanza kuunda kambi za kumkwamisha Rais Samia kuwa mgombea mwaka 2025 na bahati mbaya sana kambi ya ya akina JK ile ile ya mwaka 2005 inasemekana imeshaingia kazini na wameweka wazi kuwa hawawezi kuona chama kinachezewa na akina Makonda kwa kiasi hiki na wanapinga kwa nguvu zote maamuzi ya Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM.
Mgawanyiko huu umekwanda mbali zaidi na tayari kundi hili la makada wanaanza kushawishi baadhi ya wastaafu wa vyombo vya usalama kuwa sehemu ya mpango huu ili kufanikisha azma yao hiyo ifikapo 2025. Kama jambo hili ni kweli kama tulivyoambiwa basi tunaweza kushuhudia kupasuka na kuzama kwa CCM kwa staili ya KANU kule Kenya na UNIP kule Zambia miaka mingi nyuma. Vyama hivi vilikuwa na nguvu sana toka uhuru wa nchi zao lakini zilikuja kuzama na kufa kimzahamzaha tu na mpaka leo havijanyanyuka tena.
SISI YETU NI MACHO NA TUTAWALETEA TAARIFA KADRI TUNAVYOAMBIWA NA KUZIPATA.. LAKINI KWA SASA TUMEKAAA PALEEEE [emoji1542]
#KigogoMediaUpdates
Makonda na mzee wa pembe za ndovu ni nani mchafu zaidi ya mwenziwe!! Kinana ni mchafu zaidi ya makonda hivyo hii ni story ya kutunga.View attachment 2793650

Mimi nilifikiria unaakili kidogo kumbe huna kabisa.Makonda ataipasua CHADEMA. Ujio wa Makonda umefanya Mbowe na wahuni wenzake wafute mikutano yao ya unafiki. Mabeberu waliokuwa wanawapa pesa kupinga mkataba wa bandari wameacha baada ya mkataba kusainiwa. Mbowe na genge lake wamebaki kuhaya haya tu
Mzee six mtu mbadi sanaJembe wakati hanamarinda
Kigogo ni Team Msoga Gang ujue,yeye ugomvi wake ilikuwa na yule mwovu tu.Hakuna Kigogo wa kujiuzulu ni porojo za kina Kigogo wakomsema Kina.....
Nadhan kama angetaka muongeaji wa kupambana na wapinzani basi hata Chalamila angefaa ila kumrudisha huyu mwamba , naona ni kama kosa na sitegemei wengi kukubaliana na hili ndani ya chama.Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Sijarukia, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu.Umerukia kwenye dini tena? Siasa imekushinda unaleta dini? Ama kweli umekata tamaa!
Kwa nini hiyo unayoiita chuki haufanyiwi wewe?Hata USA Wana chuki naye?Je Kuna ushaihid ya kuhusika kwake kwenye mauaji ya mtu yoyote au chuki kwake imetewala
Nyie si mlikuwa mnamtusi samia,kawaletea mmuhuni mwenzenuRais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"
Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania
Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Siyo six tu hadi kamilius, riz1, msoga na marehem jiwe mwenyewe.Mzee six mtu mbadi sana
Kinana hajawahi kuua mtu. Hakuna uchafu unaoweza kupita ule wa kutoa roho ya binadamu mwenzioMakonda na mzee wa pembe za ndovu ni nani mchafu zaidi ya mwenziwe!! Kinana ni mchafu zaidi ya makonda hivyo hii ni story ya kutunga.
Was the 'uislam wangu' part necessary?Sijarukia, mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu.
Nafahamu fika, kuwa falasafa ya R 4 za mama Samia ni falsafa ya Kiislam.
Uliza ipi inayokupa shida wewe tukupe ushahidi na jinsi ilivyo njema kutokana na mafundisho ya Kiislam.
Kama hutaki kuzielewa kwa faid yako, hulazimishwi kuzielewa.
Hakuna kukirihishana kwenye dini (La ikrah fi din).
Hapo haiongelewi ccm bali anaongelewa muovu Makonda. Na Wala ccm haijamchagua ili iongelewe, Bali watu wanamuongelea Makonda kutokana na uovu wake. Labda kwakuwa ccm ni chama kiovu, hivyo ni sifa kuongelewa kwa mtazamo huo.Makonda kafanya kile ambacho CCM walitaka, kufanya watu waiongelee CCM sana,
Huyo makonda kuingia hapo ana baraka za vigogo wote, sidhani kama kinana hajatoa baraka zake hapi