Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

Ukisikia mawazo mgando ndio haya. Sasa mtu akikuambia ana degree nne utasema amekutukana.
 
Lakini kwani amemaanisha nini?

Hata hivyo ni machinjio ya vingunguti wala sio machinjio ya imani yoyote ile ya kidini.
 
VP kuhusu viwanda vya nyama?? huko kunamashekhe?? mbona mwala nyama za kwenye makopo??
 
Kwani hayo machinjio ni ya Bakwata au ujenzi wake unafadhiliwa na Bakwata? Kwa nini msijenge machinjio yenu ambamo mtatumia hizo taratibu?

Mnakula sana Mahotelini na kwa mama Ntilie. Mnakula Chips Kuku mitaani. Mna uhakika gani kwamba hao Mifugo wamechinjwa kwa utaratibu wenu?
 
Na huyu Ni msemaji was chama au Sirikali?
 
maajabu ya Musa hivi Rais anajuwa kile kinafanyika au ndio ameamua kijana afanye yake.... Mungu tuepushe yajayo yanafurahisha. Kumpa Mamlaka kijana asie juwa wajibika niatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…