Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Na itamtafuna mpaka hata waliompa cheo hichoMakonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana
You must be ill fated like makonda. Angesema sijahusika!Ndio jibu alilopaswa kupewa huyo muandishi! Kwa hiyo kama ni kweli huyo Muandishi alitegemea apate jibu la ndio kutoka kwa makonda!
Mimi naongezea na akamuhoji na baba yake…..
Unategemea nini toka kwa majizi ya kura yaliyokubuhu.CCM ni chama kilichojifia kitambo! Haiwezekani mpaka leo kinawatumia watu waliofoji vyeti vya kitaaluma kwenye nafasi zao za kiuongozi.
Siku atakayotumia usafiri wa fisi ndo CCM watagundua wamelamba galasa🤣Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana
Kwa hiyo kwa akili yako angesema ajahusika ndio majibu yamepatikana kuwa hajahusika? Kwanini Muandishi asimuamini Lissu aliyesema ameambiwa na watu wake kuwa Makonda alihusika?You must be ill fated like makonda. Angesema sijahusika!
Jiwe tayari damu imemtafunaNa itamtafuna mpaka hata waliompa cheo hicho
Badala akawahoji polisi ana muhoji Makonda hahaaha! Kwa hiyo baada ya kusema alishiriki atajipeleka polisi?Hawa Waandishi wengine Huwa wanajitafutia matatizo wenyewe.Ukiwa unasomea udreva unaambiwa Ukiona kuwa unaweza kuzuia ajari jitahidi uizuie hata kama wewe utakuwa upande sahihi.
Weka source tujiridhishe.Naunga mkono hoja 👍👏👏
Makonda tungekuwa na utawala bora angekuwa magereza kitambo snMakonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana
Kinafunga majangili tupuCCM ni chama kilichojifia kitambo! Haiwezekani mpaka leo kinawatumia watu waliofoji vyeti vya kitaaluma kwenye nafasi zao za kiuongozi.