Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana.

Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana
Na itamtafuna mpaka hata waliompa cheo hicho
 
Siku atakayotumia usafiri wa fisi ndo CCM watagundua wamelamba galasa🤣
 
You must be ill fated like makonda. Angesema sijahusika!
Kwa hiyo kwa akili yako angesema ajahusika ndio majibu yamepatikana kuwa hajahusika? Kwanini Muandishi asimuamini Lissu aliyesema ameambiwa na watu wake kuwa Makonda alihusika?
Muandishi mwenye akili alitakiwa kumuamini Lissu au yeye binafsi afanye uchunguzi!

Sasa anatakiwa akamuulize mama yake kama Makonda alihusika kumshambulia Lissu au lah…halafu aje atupe jibu kamwambiaje?

Kwanini asiende jeshi la polisi kuwahoji badala ya kupoteza muda tuuu…..
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO

Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika

Damu ya mtu ni nzito bana
Makonda tungekuwa na utawala bora angekuwa magereza kitambo sn
 
Back
Top Bottom