Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸŽπŸ’
 


Kuna watu hawajifunzi, anguko lale la 2 ni permanent, kama hakumsikiliza Magu, atamsikiliza nani? Huyu ataishia kushtakiwa kwa dhambi zake za Nyuma.
 
Hata Me ningekua makonda ningemjibu zaidi ya hapo, waandishi wapumbavu na watafuta kiki hiyo dawa yao.
 
Duh! Kweli Tundu Lisu ana Mungu, asiache kumuomba Mungu, kumshukuru Mungu na kutoa sadaka.
 
Na itamtafuna mpaka hata waliompa cheo hicho
Itamtafunaje? Si ishamtafuna aliyepigwa risasi? Are you saying Tundu hamjui sura yake Makonda, angemuona si angejua? Swali li kishenzi jibu la kishenzi. Dereva wa Lissu yuko wapi? Si naye atakuwa alimuona Makonda si aende Polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…