Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Makonda angekuwa na busara angefanya haya

1. Angelaani tukio lile.

2. Angempa pole Lissu.

3. Angekanusha kuhusika.

4. Angempigia simu IGP na kumuuliza uchunguzi umefika wapi.

5. Angetoa maelekezo kwa IGP uchunguzi ikamilike ndani ya siku 30 kama alivyotoa maelekezo kwa Waziri Mkuu.
👍👌👏🎁💐
 
Nitawaona mazuzu, mashubwada, mnaojikomba na kulamba makalio ya viongozi wa viongozi ili kupata uteuzi endapo mtaendelea kutoa habari zinazohusu ccm.

Makonda amesema muwe mnaenda kuwahoji mama zenu. Hili ni tusi la nguoni kwa waandishi wote.

N.B. Msikubali


Kuna watu hawajifunzi, anguko lale la 2 ni permanent, kama hakumsikiliza Magu, atamsikiliza nani? Huyu ataishia kushtakiwa kwa dhambi zake za Nyuma.
 
Hata Me ningekua makonda ningemjibu zaidi ya hapo, waandishi wapumbavu na watafuta kiki hiyo dawa yao.
 
Hivi unadhani ana jibu jingine zaidi ya hilo? Sasa hapo tu mwandishi wa habari kamuuliza katoa hilo boko, siku akiulizwa na wapelelezi wa DCI si atawataja akina Mabeyo, Kapilimba na Sirro na tarehe na mahali kikao kilipofanyika cha kumuua Lissu chini ya Magufuli.

Frustration yake kubwa ni pale waliposhindwa kutoa roho ya Lissu kwa kuwa Kapilimba na Mabeyo walimuonya Makonda kwenye kikao kuwa inaweza ika abort, yeye na Musalika Makungu (RAS Tabora 2018-20) wakasema hawatafeli.

Ndipo hata taratibu za kuchimba kaburi Ikungi zikawa zimeandaliwa chap.

Ila take it from me huyu PIMBI Zerobrain Bashite atakufa kifo kibaya sawa na Samuel Doe wa Liberia
Duh! Kweli Tundu Lisu ana Mungu, asiache kumuomba Mungu, kumshukuru Mungu na kutoa sadaka.
 
Na itamtafuna mpaka hata waliompa cheo hicho
Itamtafunaje? Si ishamtafuna aliyepigwa risasi? Are you saying Tundu hamjui sura yake Makonda, angemuona si angejua? Swali li kishenzi jibu la kishenzi. Dereva wa Lissu yuko wapi? Si naye atakuwa alimuona Makonda si aende Polisi?
 
Sio kauli nzuri kwa Kiongozi mkubwa kama yeye
Mhuni kamwe huwa haachi uhuni.
IMG_20211218_014906.jpg
 
Back
Top Bottom