Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
👍👌👏🎁💐Makonda angekuwa na busara angefanya haya
1. Angelaani tukio lile.
2. Angempa pole Lissu.
3. Angekanusha kuhusika.
4. Angempigia simu IGP na kumuuliza uchunguzi umefika wapi.
5. Angetoa maelekezo kwa IGP uchunguzi ikamilike ndani ya siku 30 kama alivyotoa maelekezo kwa Waziri Mkuu.