Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Utarudishiwa majibu1. Ni kweli alimpiga Lisu risasi 16?
2. Je, amewarudiaha nyumba ya GSM aliyoipora?
3. Ashawaomba radhi Nape na mzee Warioba kwa uhuni aliowafanyia.
4. Asharudisha benzi la alilompora yule jamaa.
5. Marekani walim-label kama mkanyima haki wa watu kuishi (muuaji). Je, ashamalizana nao?