Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa Tanzania hakuna tofauti kati ya msomi na asiye na elimu kabisa. Kama Prof. Kabudi aliwasha ndege kwenda Madagascar kuchukua dawa ya COVID isiyo na udhibitisho wa kimaabara na akaja kuinywa hadharani, hapo Kuna tofauti ya msomi na asiye na elimu?Kweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.