Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Kweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.
Kwa Tanzania hakuna tofauti kati ya msomi na asiye na elimu kabisa. Kama Prof. Kabudi aliwasha ndege kwenda Madagascar kuchukua dawa ya COVID isiyo na udhibitisho wa kimaabara na akaja kuinywa hadharani, hapo Kuna tofauti ya msomi na asiye na elimu?
 
Mtoa hoja usemaji wa watanzania kakupa nani?,soma hii UJINGA, UMASIKINI, MARADHI na cousin wao RUSHWA, bado wametamalaki nchini, 60yrs ya utawala wa chama dola, Singida mbona kuna umasikini hivi?,kauli ya chairperson wa chama chako, wewe ni mpumbavu sio mjinga tena
 
Mwandishi mwenyewe ni Saed kubenea aliyesema Ben Saanane mara ya mwisho alitumwa na Mbowe
Kumbe ni Kubenea,mwenye elimu ya hapa na pale,
Halafu ingependeza akaweka clip halisi Makonda akiongea

Hata ya kutengeneza tu kuhalalisha upumbavu wake
 
Kwahiyo unataraji hilo jeshi la police kudhibitisha juu ya shambulio la Lisu? Jeshi la police limekuwa likitumika na viongozi wahalifu dhidi ya wapinzani wasiopendwa na watawala. Ingekuja taasisi yoyote huru kufanya uchunguzi wa shambulio la Lisu, ukweli wa uhusika wa Makonda na aliyemuagiaza ungekaa wazi ndani ya siku Moja.

Ndani ya siku moja??

Hata New Scotland Yard hawawezi kufanya kazi hivyo, vinginevyo iwe ni kikulacho…..
 
Hao waliotumwa na magufuli Makonda ndio alikuwa kiongozi wa hilo. Makonda ni muhalifu, yaani ni mfungwa mtarajiwa.

Cc: Leak
Sasa mnakwenda kuhoji nini wakati mna majibu?😂😂😂
 
Lissu amewatuhumu nao?
Mbona Pompeo alipomzuia kukanyaga States kwa vile ni muuaji na anatumia cheo kunyima haki hakumjibu akamzuie mama yake?
Yeye si mwenezi (cheo anachodhani kina mamlaka wakati ni MC tuu wa Chama) aende pale ubalozi wa Marekani
Aseme anataka kumwona Balozi tena alazimishe kama hawajamkamua samadi!
 
Itamtafunaje? Si ishamtafuna aliyepigwa risasi? Are you saying Tundu hamjui sura yake Makonda, angemuona si angejua? Swali li kishenzi jibu la kishenzi. Dereva wa Lissu yuko wapi? Si naye atakuwa alimuona Makonda si aende Polisi?
Police ipi aende, hii ya kina Kingai waliombambikia Mbowe kesi ya ugaidi?
 
Huyu wakati wake utafika tuu
JamiiForums-226868094.jpg
 
Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?
Kweli ww bado mtt wa shule.....unajua nani ndiye mwenye haki ya kushitaki ktk kesi ya jinai???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya siku moja??

Hata New Scotland Yard hawawezi kufanya kazi hivyo, vinginevyo iwe ni kikulacho…..
Kwa shambulio la kishamba vile haiwezi kuchukua zaidi ya siku Moja. Ni rahisi kabisa, wataanza na nani aliagiza askari waliokuwa wanalinda gate kuondoka. Kisha watataka kujua Makonda alikuwa wapi siku ya shambulio la Lisu. Mawasiliano yake na ya RPC wa Dodoma yatafuatiliwa, hapo mchezo utakuwa umeisha.
 
Ndani ya siku moja??

Hata New Scotland Yard hawawezi kufanya kazi hivyo, vinginevyo iwe ni kikulacho…..
We unabisha nini wakati kila kitu kinajulikana. Usione watu kimya ni kwa kuwa dola inatumia mtutu wa bunduki, kunyamazisha watu. Hii Tz haina tofauti na nchi zingine za Afrika na tawala zao.

Kilichopo hapa Tz ni uoga wa wananchi. Huu ndio mtaji wa ccm kuendelea kuongoza.
 
Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?
Mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka minne Sasa na ushahidi wote upo lakini hakuna hukumu? Ingekuwa ni mahakama za kimataifa kule ambako hazipewi maelekezo hapo sawa. Maana kwenye mahakama za kimataifa huko hata serekali huwa haitoboi maana hazipokei amri toka juu. Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama zetu.
 
Kwa shambulio la kishamba vile haiwezi kuchukua zaidi ya siku Moja. Ni rahisi kabisa, wataanza na nani aliagiza askari waliokuwa wanalinda gate kuondoka. Kisha watataka kujua Makonda alikuwa wapi siku ya shambulio la Lisu. Mawasiliano yake na ya RPC wa Dodoma yatafuatiliwa, hapo mchezo utakuwa umeisha.

Kweli ni rahisi sana, lakini ni kimaongezi zaidi kuliko kimatendo.

Ukweli mwingine ni tukio la kishamba sana na ujinga wa hali ya juu na aliyelipanga ni wazi hakudhamiria kuua na hajui kuua.

Naomba uhai niwepo siku ya kujulikana huyo planner na aliowatuma kumaliza kazi.
 
Back
Top Bottom