Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

1. Ni kweli alimpiga Lisu risasi 16?
2. Je, amewarudiaha nyumba ya GSM aliyoipora?
3. Ashawaomba radhi Nape na mzee Warioba kwa uhuni aliowafanyia.
4. Asharudisha benzi la alilompora yule jamaa.
5. Marekani walim-label kama mkanyima haki wa watu kuishi (muuaji). Je, ashamalizana nao?
Utarudishiwa majibu
 
1. Ni kweli alimpiga Lisu risasi 16?
2. Je, amewarudisha nyumba ya GSM aliyoipora?
3. Ashawaomba radhi Nape na mzee Warioba kwa uhuni aliowafanyia.
4. Asharudisha benzi la alilompora yule jamaa.
5. Marekani walim-label kama mkanyima haki wa watu kuishi (muuaji). Je, ashamalizana nao?
Wasaliti dawa yao ni mauti tu,mleta uzi ni habithi mkubwa
 
Huyu mwandishi mjinga sana tena sana. Na tena inatakiwa ashughulikiwe tujue ana cheti halali cha uandishi. Wewe Lisu mwenyewe alishasema Dkt Magufuli alituma watu wakamuue halafu tena wewe mwandishi unaenda kumuuliza mtu mwingine ni akili kweli??!
Hao waliotumwa na magufuli Makonda ndio alikuwa kiongozi wa hilo. Makonda ni muhalifu, yaani ni mfungwa mtarajiwa.

Cc: Leak
 
Saed Kubenea wa mwana halisi anasitahiri hilo jibu kwa sababu alishasema pia kuwa wanaomtafuta Ben Saanane wakamuulize Mbowe
Endeleeni kuchukulia utani utani, kwa kuwa mmekamatia mirija ya asali na maziwa ya jasho la Taifa, ipo siku tutashikiana malungu msiombe poo, kutesa kwa zam
 
Hao waliotumwa na magufuli Makonda ndio alikuwa kiongozi wa hilo. Makonda ni muhalifu, yaani ni mfungwa mtarajiwa.

Cc: Leak
tena alijipachika madaraka yasio yake na tabia yake ndivyo ilivyo mpaka sasa kurukia visivyomhusu, ni kama Sabaya huko uvccm wote walijiita usalama wa Taifa.
 
Mwandishi wa habari atoke sasa akawahoji wakuu wa polisi, na waziri wa mambo ya ndani, tusikie majibu yao pia

Asipofanya hivyo watanzania sio wajinga,tutaelewa moja kwa moja mwanahabari huyo ni mzandiki na si dhamira yake kumuhoji Makonda kupata ukweli bali kuna genge nyuma yake linaloinjinia zoezi hili lengo ni kumuondoa mwenezi kwenye track nzuri aliyoanzanayo na kupokelewa positive na watanzania wengi hasa wanyonge.

Siku zote mti wenye matunda ndio upigwao mawe
 
Ndiyo rais wako ajaye
Ndio sababu ya kupanda punda kujifananisha na masiah. Comedy zenu hizi huko huko, makonda hatakuja kuwa rais wa nchi, labda wa kikundi chenu cha ugaidi. Labda ubaloz wa Rwabda endapo katiba haitabadilika
 
Unadhani Makonda is the odd one, kwanini?

Hilo jeshi la polisi limemuita mara ngapi huyo muhanga kutoa ushirikiano ili kukamilisha hizo tuhuma?

Wanatoaje taarifa juu ya washambuliaji kukamatwa bila kuthibitisha kwanza washambuliaji ni akina nani?
Kwahiyo unataraji hilo jeshi la police kudhibitisha juu ya shambulio la Lisu? Jeshi la police limekuwa likitumika na viongozi wahalifu dhidi ya wapinzani wasiopendwa na watawala.

Ingekuja taasisi yoyote huru kufanya uchunguzi wa shambulio la Lisu, ukweli wa uhusika wa Makonda na aliyemuagiaza ungekaa wazi ndani ya siku Moja.
 
Mwandishi wa habari atoke sasa akawahoji wakuu wa polisi, na waziri wa mambo ya ndani, tusikie majibu yao pia

Asipofanya hivyo watanzania sio wajinga,tutaelewa moja kwa moja mwanahabari huyo ni mzandiki na si dhamira yake kumuhoji Makonda kupata ukweli bali kuna genge nyuma yake linaloinjinia zoezi hili lengo ni kumuondoa mwenezi kwenye track nzuri aliyoanzanayo na kupokelewa positive na watanzania wengi hasa wanyonge.

Siku zote mti wenye matunda ndio upigwao mawe
Hahahaha anachoweza huyo mwandishi wa kubenea ni kumuhoji mume wake tuu😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom