Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

Hata Me ningekua makonda ningemjibu zaidi ya hapo, waandishi wapumbavu na watafuta kiki hiyo dawa yao.
Waandishi kwa nini wasimuulize Tundu? Si alimuona kw macho ilikuwa mchanakweupe kwa nini asiseme, kwa nini anakisia?
 


Jifunze lugha sahihi ya kujadili kwenye hadhara kwanza.
 
Ikiwezekana akamuulize mume wake!
 

HUSITEGEMEE JINO LENYE AFYA KWENYE KINYWA KILICHOOZA
 
Mkuu pole sana kwa maumivu unayoyapata dhidi ya Chadema. Hapa tunajadili kauli ya Konda Boy dhidi ya Mwandishi wa Habri. Hapa Viongozi wa Chadema wanaingiaje???
Wewe mpuuzi elewa nimejibu comment iliyoingiza mambo ya elimu.
 
Hivi angekufa wangemuhoji nani? sema kuna namna Magu aliwaelekeza waendeshe hiyo kesi, sasa hayupo wamebaki njia panda mana huyu wa sasa hakutaka kugugusa uchafu japo anawakumbatia wahusika hana jinsi ili yake yaendelee.
Kipindi kile TL aliusoma mchezo mana anao wapasha habari. Si unaona walitaka kumuangushia dereva wake jumba bovu.
 
Viva Makonda Viva......kanyaga twende usicheke na mawakala wa mafisadi, wala rushwa na wenye nia ovu dhidi yako, CCM, Serikali pamoja na Rais wetu Dr SSH #MamaKizimkazi
 
Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?
 


Inapofikia hatua kwa mtu/watu walio hai kuweka lawama na visingizio vya kukwama kwao kwa Maiti ambayo mpaka sasa ni hakika imebaki mifupa, ni dhahiri mwisho wa kutenda na fikra umefikiwa.


Kwamba Rais wa JMT aliewatoa gerezani watuhumiwa wa Ugaidi na Uhujumu uchumi anakosa uwezo kimaamuzi wa kufungua upya jarada la uchunguzi wa tukio la jaribio la mauaji? Unayatambua Mamlaka yake na mipaka yake vizuri?

Unaikumbuka kauli ya Rais Samia wakati wa kampeni za 2020 kuhusu shambulio hilo? Kamsikilize tena, uenda ukaelewa.

Hao wapasha Habari wa Lissu walishindwa kabisa kumuokoa kwa kumpasha Habari ya kushambuliwa kwake kabla ya tukio?
 
Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?

..kwa kesi za jinai Jamhuri ndiyo yenye mamlaka ya kuchunguza, kukamata, na kushtaki.

..uwezekano wa Lissu kufanya hivyo unavyoshauri haupo kwasababu sheria za Tanzania haziruhusu.
 
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma

Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Mwandishi wa habari atoke sasa akawahoji wakuu wa polisi, na waziri wa mambo ya ndani, tusikie majibu yao pia.
 
1. Ni kweli alimpiga Lisu risasi 16?

2. Je, amewarudisha nyumba ya GSM aliyoipora?

3. Ashawaomba radhi Nape na mzee Warioba kwa uhuni aliowafanyia.

4. Asharudisha benzi la alilompora yule jamaa.

5. Marekani walim-label kama mkanyima haki wa watu kuishi (muuaji). Je, ashamalizana nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…