Waandishi kwa nini wasimuulize Tundu? Si alimuona kw macho ilikuwa mchanakweupe kwa nini asiseme, kwa nini anakisia?Hata Me ningekua makonda ningemjibu zaidi ya hapo, waandishi wapumbavu na watafuta kiki hiyo dawa yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi kwa nini wasimuulize Tundu? Si alimuona kw macho ilikuwa mchanakweupe kwa nini asiseme, kwa nini anakisia?Hata Me ningekua makonda ningemjibu zaidi ya hapo, waandishi wapumbavu na watafuta kiki hiyo dawa yao.
Kazi ya kuthibitisha tuhuma za jinai ni ya Jamhuri na siyo mwananchi. Mwananchi anakuwa shahidi tu.
Usichukulie ukimya wa Serikali za CCM awamu ya Magufuli na hii ya Samia ukahisi yamekwisha. Atatoka Samia madarakani na nakuhakikishia huyo Nyamitako atakabiliana na vyombo vya sheria na lazima ataingia jela. Labda afa mapema
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Wewe mpuuzi elewa nimejibu comment iliyoingiza mambo ya elimu.Mkuu pole sana kwa maumivu unayoyapata dhidi ya Chadema. Hapa tunajadili kauli ya Konda Boy dhidi ya Mwandishi wa Habri. Hapa Viongozi wa Chadema wanaingiaje???
nikikuita MPUMBAVU utalalamika nimekutukanaSijui wewe
Kwani upo hai?
Hivi angekufa wangemuhoji nani? sema kuna namna Magu aliwaelekeza waendeshe hiyo kesi, sasa hayupo wamebaki njia panda mana huyu wa sasa hakutaka kugugusa uchafu japo anawakumbatia wahusika hana jinsi ili yake yaendelee.Bado sijaridhika na hiyo sababu yako ya kumfanya Makonda “the odd one” vinginevyo tuseme ni easy target to accuse?
Sio mwanzoni tu, hata kipindi cha uchaguzi 2020 wakati wa kampeni ameitwa mara ngapi na hakwenda badala yake akamjibu IGP wa wakati huo kupitia mikutano yake ya kisiasa majukwaani?
Kuwepo kwa Lissu nchini ni sahihi lakini katika uwepo wake aliitikia wito wa dhahama yake mara ngapi?
Ulitaka alipoenda kuandika maelezo Loliondo wamlazimishe kuitikia wito wa tuhuma zake juu ya dhahama dhidi yake?
Upo sahihi sema tuna utawala wa hovyo snNa bila shaka angekuwa alikwishahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kupanga na kusimamia mauajibya Ben na Azor.
Viva Makonda Viva......kanyaga twende usicheke na mawakala wa mafisadi, wala rushwa na wenye nia ovu dhidi yako, CCM, Serikali pamoja na Rais wetu Dr SSH #MamaKizimkaziMakonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?..sio swali la kipumbavu.
..labda kama tukio la Lissu halijakugusa. Lakini kama Mtanzania mpenda haki tukio lile kinapaswa likuguse.
..Mimi ningekuwa Paul Makonda kitu cha kwanza ningelaani tukio lile. Ningempa pole Tundu Lissu. Na ningeweka msisitizo kwamba sijakusikia.
..Kumtusi muandishi wa habari ni kukosa busara. Na kwa kukumbushia kuwa Mwalimu aliwahi kumjibu vibaya muandishi wa habari, ni kweli, lakini sote tunajua kuwa alikosea.
Hivi angekufa wangemuhoji nani? sema kuna namna Magu aliwaelekeza waendeshe hiyo kesi, sasa hayupo wamebaki njia panda mana huyu wa sasa hakutaka kugugusa uchafu japo anawakumbatia wahusika hana jinsi ili yake yaendelee.
Kipindi kile TL aliusoma mchezo mana anao wapasha habari. Si unaona walitaka kumuangushia dereva wake jumba bovu.
Chadema ni mapimbi
Duh! Una uhakika unajua tunaongelea nini?Usilinganishe hekima ya Nyerere na upumbavu. Nyerere hakupigania mfumo wa vyama vingi urudi ili Watanzania tuuane sisi kwa sisi.
Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?
Mwandishi wa habari atoke sasa akawahoji wakuu wa polisi, na waziri wa mambo ya ndani, tusikie majibu yao pia.Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Kwa Kesi za Jinai, mwenye ushahidi anazuiliwa kuupeleka Polisi?..kwa kesi za jinai Jamhuri ndiyo yenye mamlaka ya kuchunguza, kukamata, na kushtaki.
..uwezekano wa Lissu kufanya hivyo unavyoshauri haupo kwasababu sheria za Tanzania haziruhusu.
Wapasha habari hawapo jikoni, ila harufu ya msosi wanaisikia.Inapofikia hatua kwa mtu/watu walio hai kuweka lawama na visingizio vya kukwama kwao kwa Maiti ambayo mpaka sasa ni hakika imebaki mifupa, ni dhahiri mwisho wa kutenda na fikra umefikiwa...