Utarudishiwa majibu1. Ni kweli alimpiga Lisu risasi 16?
2. Je, amewarudiaha nyumba ya GSM aliyoipora?
3. Ashawaomba radhi Nape na mzee Warioba kwa uhuni aliowafanyia.
4. Asharudisha benzi la alilompora yule jamaa.
5. Marekani walim-label kama mkanyima haki wa watu kuishi (muuaji). Je, ashamalizana nao?
Wewe siyo "mama zetu"Damu ya msaliti wa taifa haina hatia.
Duniani kote wasaliti hupotezwa
Wasaliti dawa yao ni mauti tu,mleta uzi ni habithi mkubwa1. Ni kweli alimpiga Lisu risasi 16?
2. Je, amewarudisha nyumba ya GSM aliyoipora?
3. Ashawaomba radhi Nape na mzee Warioba kwa uhuni aliowafanyia.
4. Asharudisha benzi la alilompora yule jamaa.
5. Marekani walim-label kama mkanyima haki wa watu kuishi (muuaji). Je, ashamalizana nao?
Hao waliotumwa na magufuli Makonda ndio alikuwa kiongozi wa hilo. Makonda ni muhalifu, yaani ni mfungwa mtarajiwa.Huyu mwandishi mjinga sana tena sana. Na tena inatakiwa ashughulikiwe tujue ana cheti halali cha uandishi. Wewe Lisu mwenyewe alishasema Dkt Magufuli alituma watu wakamuue halafu tena wewe mwandishi unaenda kumuuliza mtu mwingine ni akili kweli??!
Usaliti wa Lissu ni upi?Wasaliti dawa yao ni mauti tu,mleta uzi ni habithi mkubwa
Ndiyo rais wako ajayeHao waliotumwa na magufuli Makonda ndio alikuwa kiongozi wa hilo. Makonda ni muhalifu, yaani ni mfungwa mtarajiwa.
Endeleeni kuchukulia utani utani, kwa kuwa mmekamatia mirija ya asali na maziwa ya jasho la Taifa, ipo siku tutashikiana malungu msiombe poo, kutesa kwa zamSaed Kubenea wa mwana halisi anasitahiri hilo jibu kwa sababu alishasema pia kuwa wanaomtafuta Ben Saanane wakamuulize Mbowe
Ndio, lakini ni kwa wizi wa kura.Ndiyo rais wako ajaye
Mbona mama yako alimsaliti baba yako lakini Bado wakakuzaa mwehu weweDamu ya msaliti wa taifa haina hatia.
Duniani kote wasaliti hupotezwa
tena alijipachika madaraka yasio yake na tabia yake ndivyo ilivyo mpaka sasa kurukia visivyomhusu, ni kama Sabaya huko uvccm wote walijiita usalama wa Taifa.Hao waliotumwa na magufuli Makonda ndio alikuwa kiongozi wa hilo. Makonda ni muhalifu, yaani ni mfungwa mtarajiwa.
Cc: Leak
Siyo kweli, ataendelea kupeta kwa sababu hahusiki, na kama ingekuwa anahusika, kila kitu kingekuwa hivyo kwa MakondaNa itamtafuna mpaka hata waliompa cheo hicho
Mlishindwa nini kumpeleka mahakani baba yake alipokufaMakonda tungekuwa na utawala bora angekuwa magereza kitambo sn
Ndio sababu ya kupanda punda kujifananisha na masiah. Comedy zenu hizi huko huko, makonda hatakuja kuwa rais wa nchi, labda wa kikundi chenu cha ugaidi. Labda ubaloz wa Rwabda endapo katiba haitabadilikaNdiyo rais wako ajaye
Kwahiyo unataraji hilo jeshi la police kudhibitisha juu ya shambulio la Lisu? Jeshi la police limekuwa likitumika na viongozi wahalifu dhidi ya wapinzani wasiopendwa na watawala.Unadhani Makonda is the odd one, kwanini?
Hilo jeshi la polisi limemuita mara ngapi huyo muhanga kutoa ushirikiano ili kukamilisha hizo tuhuma?
Wanatoaje taarifa juu ya washambuliaji kukamatwa bila kuthibitisha kwanza washambuliaji ni akina nani?
Exactly.tena alijipachika madaraka yasio yake na tabia yake ndivyo ilivyo mpaka sasa kurukia visivyomhusu, ni kama Sabaya huko uvccm wote walijiita usalama wa Taifa.
Hahahaha anachoweza huyo mwandishi wa kubenea ni kumuhoji mume wake tuuπππππMwandishi wa habari atoke sasa akawahoji wakuu wa polisi, na waziri wa mambo ya ndani, tusikie majibu yao pia
Asipofanya hivyo watanzania sio wajinga,tutaelewa moja kwa moja mwanahabari huyo ni mzandiki na si dhamira yake kumuhoji Makonda kupata ukweli bali kuna genge nyuma yake linaloinjinia zoezi hili lengo ni kumuondoa mwenezi kwenye track nzuri aliyoanzanayo na kupokelewa positive na watanzania wengi hasa wanyonge.
Siku zote mti wenye matunda ndio upigwao mawe