Kwa Tanzania hakuna tofauti kati ya msomi na asiye na elimu kabisa. Kama Prof. Kabudi aliwasha ndege kwenda Madagascar kuchukua dawa ya COVID isiyo na udhibitisho wa kimaabara na akaja kuinywa hadharani, hapo Kuna tofauti ya msomi na asiye na elimu?Kweli watu wenye tuhuma kuhusu elimu ni ngumu kuwa viongozi wazuri. Pale CHADEMA kuna matatizo makubwa zaidi kwa sababu viongozi wa juu karibu wote wana elimu duni. Mwenyekiti anatajwa kupata sifuri form six, huku Lema akitajwa kuishia kidato cha pili. Sugu ndo msomi pekee ambaye elimu yake imenyooka ya kidato cha nne.
Uvccm inatengeneza magaidi wa kisiasa bila viongozi wa chama kujua, ambao wanakua ni magaidi weusi. Madogo wanajamba wakuu wa chama wanafurahi kwa kuwa mijambo yao inaendeleza tawala zao.Exactly.
Kumbe ni Kubenea,mwenye elimu ya hapa na pale,Mwandishi mwenyewe ni Saed kubenea aliyesema Ben Saanane mara ya mwisho alitumwa na Mbowe
Kwahiyo unataraji hilo jeshi la police kudhibitisha juu ya shambulio la Lisu? Jeshi la police limekuwa likitumika na viongozi wahalifu dhidi ya wapinzani wasiopendwa na watawala. Ingekuja taasisi yoyote huru kufanya uchunguzi wa shambulio la Lisu, ukweli wa uhusika wa Makonda na aliyemuagiaza ungekaa wazi ndani ya siku Moja.
Mbona Pompeo alipomzuia kukanyaga States kwa vile ni muuaji na anatumia cheo kunyima haki hakumjibu akamzuie mama yake?Lissu amewatuhumu nao?
Police ipi aende, hii ya kina Kingai waliombambikia Mbowe kesi ya ugaidi?Itamtafunaje? Si ishamtafuna aliyepigwa risasi? Are you saying Tundu hamjui sura yake Makonda, angemuona si angejua? Swali li kishenzi jibu la kishenzi. Dereva wa Lissu yuko wapi? Si naye atakuwa alimuona Makonda si aende Polisi?
kesi ikiwa mahakamani ndio, inaachiwa mahakama ila hili yeyote anaweza hoji hasa mwandishi ndio pake. Angalieni mnachotetea.... kisije kuwageukia mkaliaYeye ni polisi mpaka ahoji ujinga kama huo
Kweli ww bado mtt wa shule.....unajua nani ndiye mwenye haki ya kushitaki ktk kesi ya jinai???Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?
Kwa shambulio la kishamba vile haiwezi kuchukua zaidi ya siku Moja. Ni rahisi kabisa, wataanza na nani aliagiza askari waliokuwa wanalinda gate kuondoka. Kisha watataka kujua Makonda alikuwa wapi siku ya shambulio la Lisu. Mawasiliano yake na ya RPC wa Dodoma yatafuatiliwa, hapo mchezo utakuwa umeisha.Ndani ya siku moja??
Hata New Scotland Yard hawawezi kufanya kazi hivyo, vinginevyo iwe ni kikulacho…..
We unabisha nini wakati kila kitu kinajulikana. Usione watu kimya ni kwa kuwa dola inatumia mtutu wa bunduki, kunyamazisha watu. Hii Tz haina tofauti na nchi zingine za Afrika na tawala zao.Ndani ya siku moja??
Hata New Scotland Yard hawawezi kufanya kazi hivyo, vinginevyo iwe ni kikulacho…..
Haya maneno hawawezi kukuelewa, lakini watu wengi walioshiriki mauaji na sheria ikawakosakosa kwa kukosekana uwazi huishia kufa kihayawaniNa dhambi zake zitamtesa mpk atamua kunywa sumu
Mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee zaidi ya miaka minne Sasa na ushahidi wote upo lakini hakuna hukumu? Ingekuwa ni mahakama za kimataifa kule ambako hazipewi maelekezo hapo sawa. Maana kwenye mahakama za kimataifa huko hata serekali huwa haitoboi maana hazipokei amri toka juu. Rejea kauli ya Rostam kuhusu mahakama zetu.Mkuu kama una ushahidi wa kuhusika kwa Makonda si uupeleke mahakamani ashughulikiwe? Yaani Lissu mnayemuita Wakili nguli ana ushahidi wa mtu aliyemshambulia na bado kabunda nao tu!? Is that a real attorney or what?
Kwa shambulio la kishamba vile haiwezi kuchukua zaidi ya siku Moja. Ni rahisi kabisa, wataanza na nani aliagiza askari waliokuwa wanalinda gate kuondoka. Kisha watataka kujua Makonda alikuwa wapi siku ya shambulio la Lisu. Mawasiliano yake na ya RPC wa Dodoma yatafuatiliwa, hapo mchezo utakuwa umeisha.
Kuna haja ya kuangalia miaka ya kujiunga Jf. Yani tangia mchina amwage smart simu zake hapa Jf pamekuwa fujo fujoKweli ww bado mtt wa shule.....unajua nani ndiye mwenye haki ya kushitaki ktk kesi ya jinai???
Sent using Jamii Forums mobile app
Niitenikikuita MPUMBAVU utalalamika nimekutukana
Chama kubwa ina watu makini sana, leo mpaka kesho.CCM ni chama kilichojifia kitambo! Haiwezekani mpaka leo kinawatumia watu waliofoji vyeti vya kitaaluma kwenye nafasi zao za kiuongozi.