Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mwandishi asivyo na akili
Huna hata ABC juu ya taaluma ya uandishi wa habari, hujui hata maana ya ku balance story, ila kwa wenye akili za kuzaliwa ni kwamba makonda ametuthibitishia uhusika wake
Wewe mwenye akili za Uganga wa Kienyeji na Kuroga ndio utuambie ulitaka ajibu nini?
UKiwa mjinga, jifunze kukaa kimya maana walau kuna wachache wanaweza wasijue ujinga wako.Mwambie huyo mwandishi wako afanye kulingana na maelezo yako,pumbavu sana
MTU ALIYE MUULIZA KAKOSEA KUULIZA KAENDA DIRECTY HAKUNA MTU MWENYE AKILI KAMA MAKONDA ANAWEZA KUJIBU UTUMBO HUO
..kumtania mtu, unataka kulinganisha na tukio la mtu kupigwa marisasi?
..labda nikuulize: kwanini Makonda hakutumia fursa hiyo kuwaamrisha Polisi watoe majibu ya uchunguzi wa tukio la Lissu ndani ya siku saba kama ilivyokawaida yake?
..Makonda amekosa hata busara kidogo kulaani shambulizi dhidi ya Lissu?
Amethibitisha uhusika wake kwa kumwambia muandishi akamuhoji mama yake?
Hili takataka lilikuwa limetupwa dampo, huyo aliyelirudisha aliona amefanya la maana?Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Tatizo akili hizo hana amerithi uduwanzi wa yule role model wake.Ilitakiwa awe "calm" na amwambie tu "Lissu ni mwanasheria, afate sheria".
..ameshindwa kukanusha.
..ameshindwa kutoa pole.
..ameshindwa kulaani tukio lile.
..ameshindwa kutumia vizuri nafasi hiyo kuushawishi umma kuwa hahusiki.
Huko CCM yamejaa mapooza tupuUmeandika Kama MAKONDA mwenyewe!
Sure. With state machinery backing, the guy’s invincible. But …Na bado mtasema yote! Makonda hamtamuweza kwa lolote!
Hivi unadhani ana jibu jingine zaidi ya hilo? Sasa hapo tu mwandishi wa habari kamuuliza katoa hilo boko, siku akiulizwa na wapelelezi wa DCI si atawataja akina Mabeyo, Kapilimba na Sirro na tarehe na mahali kikao kilipofanyika cha kumuua Lissu chini ya Magufuli.Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
Akanushe tuhuma ambazo wanabambikwa watu tofauti kila kukicha kulingana na upepo wa kisiasa?
Kutoa pole ni lazima? Ni sheria?
Kulaani tukio kwa msingi upi?
Kuushawishi ummah kwamba hausiki? Kuna sheria inamuelekeza kufanya hivyo?
1. Tuhuma zimetoka moja kwa moja kwa mhanga wa tukio.
2. Kutoa pole sio lazima lakini ni uungwana.
3. Kulaani tukio kwa misingi kwamba ni tukio la kinyama na halistahili kwa yeyote yule.
4. Hakuna sheria inayomlazimisha kushawishi umma kuwa hahusiki.
5. kama kiongozi wa umma si sahihi kwa Makonda kuacha kukanusha tuhuma mbaya dhidi yake.
Aliye mteua Mwenyewe Kwa kauli hii katukanwaHili takataka lilikuwa limetupwa dampo, huyo aliyelirudisha aliona amefanya la maana?