PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ss mafisadi c ndio hao hao wanaishi wote nyumba mojaa๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Wee Mzee kweli uzee umekuharibu ubongo kbs!!!
 
Anawezaje kwenda kinyume na bosi wake? Yaani yy akahangaike na ufisadi ikiwa toka 2021 had sasa ripot za CAG zipo kabatini zinasomwa kama gazeti la sani.
Hawa CCM Wanatuona WATANZANIA km matakoo Yao ety๐Ÿค”
 
Kuna watu umeongea nao,umefanyika utafiti au umejishika moyoni na kuhisi tu?
 
Kwamba TAMISEMI wasimuogope Mchengerwa mkwe wa Rais waje kumuogopa msukuma mmoja anayeishi kwa kujipendekeza?

Nawe Yohana mbatizaji utumie kichwa chako kufikiria, usitumie makalio mkuu.
 
Mkuu wa mkoa tajiri kuliko wote anapigana vita na mafisadi wapi hao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚acha utani
 
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the ...31 Jan 2020
 
Daaah,sio kwa ubaya mkuu,unaendaga kwenye siku zako kwa wakati? kama sio nikutafutie mganga mzuri maana akili imeshaanza kuondoka hivyo
 
Kwa usafi gani alionao Makonda kwanza ana, Ban ya kwenda USA so waziri mkuu mwenye Ban ya kwenda USA
 
Bogus Country mara 800 Dotto Biteko ila sio huyo Makondoo
 
Rubbish, makonda mwenyewe jizi kuliko majizi yaliyowahi kutokea tanzania
 
Tanzania kulikuwa na waziri mkuu mmoja tu na hatakuja kutokea mfano wake,Edward Moringe Sokoine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ